mgemamkwezi
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 445
- 105
Humphrey pole pole akiri kuwa yeye ni mwanachama mtiifu wa ccm,hata kama ccm itakuwa na mapungufu makubwa kiasi gani mm siwezi kukihama chama changu,pole pole alisema maneno hayo akiwa anahojiwa na star tv
Huyu jamaa namkubali sana lakini kukiri kuwa hawezi kukihama chama cha mafisadi na akikiri kila siku kuwa rasimu ya katiba iliyokuwa imebeba masuala yote muhimu yaliyopendekezwa na wananchi yamenyofolewa na manyang'au hao hao CCM ni unafiki na uzandiki.