Humanitarian aid workers tukutane hapa , ili ku-share experiences ya chungu na tamu tulizokutanan nazo fields. iwe ndani au nje ya nchi..... fields kama South Sudan, Iraq, Yemen, Bangladesh, Burundi, Uganda, Tanzania, na Nigeria n.k. najua mko humu.
lakini mwisho kabisa tusiache kutupia hapa link za jobs ili kuwasaidia vijana ambao wanapenda kufanya hizi kazi zetu za kukwepa ...pah!!! ili kusaidia watu.
Kwa upande wangu niseme tu niko tayari kuulizwa lolote kuhusu field za DR Congo, South Sudan, Iraq na Uganda.
Siasa sisi sio zetu , hivyo ukiuuliza swali lolote kuhusu tawala za huko kisiasa hutajibiwa.
waweza uliza pia topic kama PSM in humanitarian, Medlogs , Biomed na WASH, Security na mengine kama hayo ya ki-field field.
Napenda kusisitiza siasa sio chakula yetu , wapo wahusika na sio sisi