I Ishemo Senior Member Joined Mar 6, 2015 Posts 194 Reaction score 128 Jul 26, 2018 #1 Habari wakuu Mimi si mwandishi mzuri Lakini hili tukio limenikwaza mpaka Hata link sijui namna yakuweka lakini ukiicopy ukaifungua kwa browser waweza kuona hiyo video ya askari mshenzi na mnyanyasaji
Habari wakuu Mimi si mwandishi mzuri Lakini hili tukio limenikwaza mpaka Hata link sijui namna yakuweka lakini ukiicopy ukaifungua kwa browser waweza kuona hiyo video ya askari mshenzi na mnyanyasaji
Lukataluko JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 1,345 Reaction score 1,573 Jul 26, 2018 #2 Hawa jamaa ni kawaida yao,nguvu nyingi akili kisoda.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,955 Reaction score 104,306 Jul 26, 2018 #3 Huyu lazima afungwe maisha, sheitwani mkubwa
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jul 26, 2018 #4 Good job camera man .. Ila vile sijajua kosa la huyo mdada ngoja kwanza nikae kimya
I Ishemo Senior Member Joined Mar 6, 2015 Posts 194 Reaction score 128 Jul 26, 2018 Thread starter #5 Alichelewa kwenda Bank akaingia kumbe Bank walishafunga mahesabu naye anataka atoe pesa