technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Ni kwasababu ni mkopo wenye masharti nafuu sana na hulipwa kidogo kidogo sana!Kiufupi hata rafiki yako hawezi kukukopesha mkopo wa namna hiyo!Duuuh
Mkopo halafu unapangiwa
Ndio maanake sio nikukopeshe mkopo wa muda mrefu halafu unamkabizi mabulungutu Polepole halafu baada ya miaka ishirini unaomba usameheweDuuuh
Mkopo halafu unapangiwa
Kwahiyo mruhusiwe tu kupiga wabunge wa Upinzani risasi wakiwa bungeni ati kwa sababu mmeshikilia dola?Genge LA wahuni
Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya kipumbav!Mungu nimjuaye mimi huwa sio mbaguzi,habagui watoto wake na ni mwenye rehema!Sasa eti mnasema kufukuza watoto wa kike shule ni mpango wa Mungu?Pumbav kabisa!
Mkuu, na Mungu pia kaweka amri, uspozitii, umeula wa chuya,Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya kipumbav!Mungu nimjuaye mimi huwa sio mbaguzi,habagui watoto wake na ni mwenye rehema!Sasa eti mnasema kufukuza watoto wa kike shule ni mpango wa Mungu?Pumbav kabisa!
Pole kwa maumivu.Wanasema hakukuwa na uharaka wa kuwaisha mkopo kwa nchi ambayo haijatoa uhakika Kama watoto wa kike watapata elimu endapo mkopo utapitishwa wanasema World bank wasitoe mkopo wa awali mpaka pale watakapojilizisha Kama mkopa utawanufaisha watoto wote wa kike na kiume bila ubaguzi
wanasema serikali ya Tanzania haina transparent (uwazi) juu ya watoto wanaopata ujauzito uwa wanaenda wapi baada ya kufukuzwa shule
Wanasema WB wasikiuke Sera zao za kutoa mikopo ya elimu kwani Sera ipo wazi haitoi ubaguzi Kama wanavyofanya Tanzania.
Kwahiyo mruhusiwe tu kupiga wabunge wa Upinzani risasi wakiwa bungeni ati kwa sababu mmeshikilia dola?
Human rights watch mungu awabariki
Unadhani kisa riba ndio wanakopesha kopesha Kama hela za vikoba , ile taasisi ina miiko Yake .. kajiulize kwanini Burundi hakopeshwi pesaHuman rights watch nao wajue kwamba WB ni wafanya biashara, Tanzania itarudisha hizi pesa Kwa riba, hivyo si mhimu Sana watetezi wa mashoga hawa kusikilizwa,
AMEPIGWA! UNTIL PROVEN OTHERWISE TUNAAMINI AMEPIGWA FANYENI UCHUNGUZIHakuna Serikali iliyompiga Risasi Lissu. Narudia kwa HERUFI Kubwa. HAKUNA SERIKALI ILIYOMPIGA LISSU Risasi. He is not worthy the effort.
Mkuu nimecheka Sana aiseeUnadhani kisa riba ndio wanakopesha kopesha Kama hela za vikoba , ile taasisi ina miiko Yake .. kajiulize kwanini Burundi hakopeshwi pesa
Sent using Jamii Forums mobile app