Human Rights Watch : WB hawajachukulia umakini juu ya haki za watoto wa kike Tanzania

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,108
2,000
Wanasema hakukuwa na uharaka wa kuwaisha mkopo kwa nchi ambayo haijatoa uhakika Kama watoto wa kike watapata elimu endapo mkopo utapitishwa wanasema World bank wasitoe mkopo wa awali mpaka pale watakapojilizisha Kama mkopa utawanufaisha watoto wote wa kike na kiume bila ubaguzi

wanasema serikali ya Tanzania haina transparent (uwazi) juu ya watoto wanaopata ujauzito uwa wanaenda wapi baada ya kufukuzwa shule

Wanasema WB wasikiuke Sera zao za kutoa mikopo ya elimu kwani Sera ipo wazi haitoi ubaguzi Kama wanavyofanya Tanzania.
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
6,355
2,000
Corticopontine
Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya kipumbav!Mungu nimjuaye mimi huwa sio mbaguzi,habagui watoto wake na ni mwenye rehema!Sasa eti mnasema kufukuza watoto wa kike shule ni mpango wa Mungu?
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
7,017
2,000
Kuna mtu alishawahi hoji kama mentally uko fit,mpaka sasa hatujapata majibu.kwani hiyo altenative program ambayo serikali imesema haujailewa! Wakipigwa mimba kuna Qt,veta n.k.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,657
2,000
Duuuh
Mkopo halafu unapangiwa
Ndio maanake sio nikukopeshe mkopo wa muda mrefu halafu unamkabizi mabulungutu Polepole halafu baada ya miaka ishirini unaomba usamehewe

Sijawahi kuona kuona madiwani wa Chadema kuwindwa hadi magerezani
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,504
2,000
Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya kipumbav!Mungu nimjuaye mimi huwa sio mbaguzi,habagui watoto wake na ni mwenye rehema!Sasa eti mnasema kufukuza watoto wa kike shule ni mpango wa Mungu?Pumbav kabisa!

So mkuu uko radhi mtoto wako wa Kike wa 16. atiwe mimba. Au wewe ndo mbakaji. Nyie Ni watu wa Aina gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
2,865
2,000
Msimuingize Mungu kwenye mambo yenu ya kipumbav!Mungu nimjuaye mimi huwa sio mbaguzi,habagui watoto wake na ni mwenye rehema!Sasa eti mnasema kufukuza watoto wa kike shule ni mpango wa Mungu?Pumbav kabisa!
Mkuu, na Mungu pia kaweka amri, uspozitii, umeula wa chuya,

Kama maisha tunayoishi Mungu ameyawekea mipaka na inasimamiwa kikamilifu, Sisi ni Nani tuishi bila utaratibu?

Kwa siku nyingine ustukane watu tu bila kujua kilichomo kwenye vitabu Vitakatifu, Kwanza wewe mwenyewe nyumbani kwako umejiwekea utaratibu sembuse nchi na Serikali yake!!! Je umejigundua kwamba wewe ndo mjinga kuliko unaowashambulia!!
 
Chintu

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
5,220
2,000
Wanasema hakukuwa na uharaka wa kuwaisha mkopo kwa nchi ambayo haijatoa uhakika Kama watoto wa kike watapata elimu endapo mkopo utapitishwa wanasema World bank wasitoe mkopo wa awali mpaka pale watakapojilizisha Kama mkopa utawanufaisha watoto wote wa kike na kiume bila ubaguzi

wanasema serikali ya Tanzania haina transparent (uwazi) juu ya watoto wanaopata ujauzito uwa wanaenda wapi baada ya kufukuzwa shule

Wanasema WB wasikiuke Sera zao za kutoa mikopo ya elimu kwani Sera ipo wazi haitoi ubaguzi Kama wanavyofanya Tanzania.
Pole kwa maumivu.
Meza Asprin changanya na Valium
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,504
2,000
Kwahiyo mruhusiwe tu kupiga wabunge wa Upinzani risasi wakiwa bungeni ati kwa sababu mmeshikilia dola?

Human rights watch mungu awabariki

Hivi wewe Tansania Ni ya wananchi au CHadema na CCM. Unasahau kabisa. Wapigwa mimba Ni kama 1000 tu katika watu zaidi ya 50 Million. Unasahau kuwa wanafunzi wa Tanzania wanahitaji huduma nzuri Kadiri ya mazingira yetu. Unasahau kuwa hela hiyo Ni kwa ajili ya watanzania. Unafikriia kuhusu wanasiasa. Awe CHadema awe CCM. Angalia Nani anagusa maisha ya Mtanzania.

Hakuna Serikali iliyompiga Risasi Lissu. Narudia kwa HERUFI Kubwa. HAKUNA SERIKALI ILIYOMPIGA LISSU Risasi. He is not worthy the effort.

Na kama angekuwa worthy Ingawa Mimi sielewi (Labda kwenye groups za WhatsApp za watanzania. Umbeya na kuropoka Ni kipimo cha ushujaa. ). Basi Hakuna nchi ambayo angekuwa salama. Hana faida kwa nchi yoyote kulindwa asife ( Labda iwe ndo waliofanya tukio kwa malengo yao. Na narudia kwa herufi Kubwa HAKUNA NCHI YENYE NIA NJEMA NA MTANZANIA KWA FAIDA YA MTANZANIA. NEVER.)

Acha Kumtaja Mungu. Hao wanaopigania matumbo yao na dhambi kama za ushoga, ulesbian nk. Unamtaja MUNGU. Ok sorry. Kumbe umemtaja „mungu“ ambaye anaweza kuwa Fedha. Personal gratification. etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,617
2,000
Kwa hiyo serikali ya JMT badp haijasalimu amri kama anavyodai yule mwanaharakati uchwara?
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,657
2,000
Hakuna Serikali iliyompiga Risasi Lissu. Narudia kwa HERUFI Kubwa. HAKUNA SERIKALI ILIYOMPIGA LISSU Risasi. He is not worthy the effort.
AMEPIGWA! UNTIL PROVEN OTHERWISE TUNAAMINI AMEPIGWA FANYENI UCHUNGUZI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom