Human Rights' Press release on Dr Ulimboka

Ikibainika kuwa si state agents, binafsi nitasikitika sana, maana maneno ya Mnyika yatakuwa yametimia kuwa hii serikali ni dhaifu kwa kuzidiwa kete za kumlinda Dr. Ulimboka ambaye ni adui yao na wao wanajua kuwa akipatwa na tatizo lolote wao ndio wanaowajibika. Wakiwa wao walau itaonyesha kuwa nguvu za Mungu zimemlinda mwanaukombozi huyu shupavu. Fikiria mkuu
 
This is for the sake of records my brother, condemnation intends to alert the international community to know what is taking place in TZ.!!
 
Ingekuwa vema kama hawa wanaharakati wangetoa hii taarifa kwa lugha zote mbili: Kiswahili na Kiingereza.

Wakat sisi tunafikiri Leo wewe umefikiri leo kesho na keshokutwa,asante tusubiri tuone kama watazingatia ushauri wako
 
Sasa mkuu ulitaka serikali wampe ving'ora na bodyguards?
 
Kama ni shamba kwanini iwe kipindi hiki cha mgomo wa madaktari?.ccm wenzio wamesitisha uamuzi wao waliotegemea kuutoa leo bungeni,wameogopa reaction ya umma.Any way, hata waliofanya kitendo hicho nao wanaweza kuchangia uzi huu ili ku-fake the all issue.
 
wewe ni mpum$#6&* juzijuz ulikuj kweny maandamano?
 
Very very excellent Bisimba

Mama Ananilea Nkya uko wapi? Au mpaka angekuwa mwanamke ndo ungesema. Jitokeze uongeze nguvu kwa kupigilia msumari wa moto kwa mafisadi mauaji!
 
Madai ya msingi yapi yaliyotekelezwa na serikali? Si uwapeleke hao ndugu zako kwenye private Hospitals sasa wasife, unamlalamikia nani?
 
Andikeni hilo tangazo kwa kiswahili wajameni hata wengine ambao hatukupata waalimu wa kiingereza tujue mnachosema
 
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
 
Ingekuwa vema kama hawa wanaharakati wangetoa hii taarifa kwa lugha zote mbili: Kiswahili na Kiingereza.

Haswaaaa!!,maana mimi nineyaona maandishi tu Ila tafasiri ndio imenipiga chenga kidogo.
 
Mtoto amedhalilishwa na majirani wameona, ila familia yenyewe imeamua kufanya uchunguzi humohumo ndani ya nyumba, ukizingatia kuwa wanafamilia wamekula kiapo kutokutoa siri za ndani nje, wanapochunguza wakigundua mmoja wa mtoto wako ndiye aliyehusika kumdahlilisha mtoto mwenzake, wewe kama baba utataka majirani wajue, hata kama unachukua hatua za kumuadhibu? na majirani wako huko mtaani wanasubiri kwa hamu wajue aliyemdhalilisha huyo mtoto na sababu za kumdhalilisha. Tusubiri matokeo. nakutakia afya njema Dr. Ulimboka.
 
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.
Umepost sana kwenye server ya JF sasa ni wakati wa kuchangia tokea umejiunga 20-june- 2011 hujatoa hata cent hapa wewe gamba
 
Hawa wachumia matumbo wa Nothing Going On (NGO) wapuuzi kabisa, badala ya kusimama na wananchi wanaokufa kila siku kwa kukosa huduma wao wanasimama na huyo msaliti Dr Ulimboka. Inatia kinyaa mama mzima kugeuka kibaraka wa wanasiasa wa CDM.

Join Date : 20th June 2011
Posts : 531
Rep Power : 480
Likes Received :111
Likes Given: 44

Changia changia umeshazeekea hapa
 
you sound more Pathetic! bora hata usingechangia kumbe we ni z.oba hivyo!!!! Ugonvi wa shamba!!!! kweli ujinga mzigo
 
Haswa hata mie nimeshtuka kidogo nilipofika hapo, but may be wanao ushahidi wa kutosha ndo mana wamekuwa jasiri!.

Hivi Tamko la ku-condemn ukosefu wa huduma kwa wagonjwa wetu ili kuiwajibisha serikali lilitoka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…