Wadau naomba mnisaidie,ilikufanya kazi kwa ufanisi kama human resources management officer(wa tasisi ya uma-training institute) naitaji kuwa na nondo gani za muhimu kuniwezesha kufanya kazi hii? Mfano copy za sheria gani? Public standing orders na yapi mengine?