wadau habari tena, kuna hii site inaitwa hulu iko usa i guess, coz sio rahisi kuangalia video kama hauko u.s... sasa wadau kama kuna mtu ana proxy zetu zile zinazoruhusu kuwatch video za hulu itakuwa poa sana. maana proxy nyingi zinakubali youtube only. nb: izo proxy ziwe za u.s.... ahsanteni
wadau habari tena, kuna hii site inaitwa hulu iko usa i guess, coz sio rahisi kuangalia video kama hauko u.s... Sasa wadau kama kuna mtu ana proxy zetu zile zinazoruhusu kuwatch video za hulu itakuwa poa sana. Maana proxy nyingi zinakubali youtube only. Nb: Izo proxy ziwe za u.s.... Ahsanteni
kama kawa toto wewe weka port 80 na web adrss nadhani wazjuaport 80 i guess, ngoja nijaribu
nadhani wameiblock hii ip coz haikubali, lakini proxy zingine zinafanya kazi kama kawa
we mwana we wenzio tunahaha kupata hiyo mambo but kimya kabisa sasa kama ushapata ni pM nami mkuuunajua yoyote amabyo inatinga?