Afadhali usingeandika kitu ingekuwa busara zaidi!wana jf.
Leo ndo mwendelezo wa ile hukumu ya ubunge wa Sumbawanga.
Mwenye taarifa taafadhali atupatie.
Hii kesi yaani haijulikani inatoka wapi na inakwenda wapi!mambo ya mahakamani wakati mwingine yanachanganya sana!Mie najua hukumu ilisomwa na AESH akapigwa chini sasa nini tena!!???
Hukumu huwa inasomwa cku 1 tu, sasa mwendelezo wa vp? au ni mwendelezo wa kesi?, cjakupata mkuu.
Mkuu Mwita Maranya, kama hiyo hukumu ni leo, taarifa zake zikoje. Unajua hawa magamba wakiona jamii iko kimya ndio wanapata upenyo wa kuchakachua. Lakini kama watu wanafuatilia basi huwa wanatoa haki. Historia inaonesha hivyo.Nakumbuka Aeshi wa ccm alikata rufaa katika mahakama ya rufaa bila shaka mleta uzi anakusudia kuulizia hukumu mahakama ya rufaa.
Nakumbuka Aeshi wa ccm alikata rufaa katika mahakama ya rufaa bila shaka mleta uzi anakusudia kuulizia hukumu mahakama ya rufaa.
There are currently 57 users browsing this thread. (13 members and 44 guests)
- Gagnija,
- kisururu,
- Acidic rain,
- mapungo,
- Mwigulu Nchemba,
- S2dak_Jr,
- john joachim,
- ukwelikitugani,
- mob,
- Deus F Mallya,
- ZeMarcopolo,
- REMSA,
- mgashi
Nikiona jina la haka kajamaa mwili uanapata woga , sijui kwa nini.
mkuu thraed yako haijaeleweka vizuri bt kwa kukusaidia ni kwamba leo ilikuwa ni siku ya kusikiliza rufaa ambazo ni 2 moja ya mwanasheria mkuu alikata rufaa, na ya pili ni rufaa ya Aesh mwenyewe zote rufaa 2 ni dhidi ya Yamsebo. yaliyo jili mahakamani ni kwamba rufaa ilikuwa haijiva kwa maana ya siku 60 zilikuwa bado hazijatimia na mahakama ndo ilikosea kutaja kesi leo na majajai walikiri hilo na upande wa mrufaniwa kapewa muda wa kusubmit reply submission of appeal mpaka tarehe 7 mwezi wa 3 na itapangiwa tarehe mpya ya kuisikiliza kwa ujumla wakili wa Yamsebo alikuwa hajakamilisha documents na hata list of cases kwa ajili ya references kapewa in surprise leo ndani ya mahakama na majaji waka hairisha kesi. source mimi mwenyewe.wana jf.
Leo ndo mwendelezo wa ile hukumu ya ubunge wa Sumbawanga.
Mwenye taarifa taafadhali atupatie.
mkuu asante kwa taarifa.mkuu thraed yako haijaeleweka vizuri bt kwa kukusaidia ni kwamba leo ilikuwa ni siku ya kusikiliza rufaa ambazo ni 2 moja ya mwanasheria mkuu alikata rufaa, na ya pili ni rufaa ya Aesh mwenyewe zote rufaa 2 ni dhidi ya Yamsebo. yaliyo jili mahakamani ni kwamba rufaa ilikuwa haijiva kwa maana ya siku 60 zilikuwa bado hazijatimia na mahakama ndo ilikosea kutaja kesi leo na majajai walikiri hilo na upande wa mrufaniwa kapewa muda wa kusubmit reply submission of appeal mpaka tarehe 7 mwezi wa 3 na itapangiwa tarehe mpya ya kuisikiliza kwa ujumla wakili wa Yamsebo alikuwa hajakamilisha documents na hata list of cases kwa ajili ya references kapewa in surprise leo ndani ya mahakama na majaji waka hairisha kesi. source mimi mwenyewe.