Hukumu ya serukamba

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Mımı nataka kuuliza nini hatma ya huyu muhuni Peter Serukamba sababu nashindwa hata kumwita mweshimiwa sababu ya maneno machafu ya kulizalilisha bunge na nchi kwa ujumla.sijui sheria naomba muongozo, kama kuna kila ushaidi mpaka wa video inayo onyesha na kusika serukamba akitoa maneno ambayo kwamtu wakawaida hawezi kuyatamka na akijua kwamba posho anazozipata zinatoka kwenye kodi za watanzania na nanafasi alıyoipata imetokana na watanzaia.sasa kama uwenda spika hakuweza kuyasikia maneno yale wakati serukamba anayatoa au hakuweza kutafakari na kupajibu la haraka sababu ni lugha ya kigeneni alitumia.naamini kwa sasa analojibu sahihi ya neno alilotamka Serukamba,Je kulingana na ushaidi uliopo katika clip na malalamiko ya wananchi kupitia vyombo vya habari mbalimbali ni jukumu gani spika anastaili kulichua kwa Serukamba ili kesho hasiweze kutamka maneno machafu kama haya,kama hakuna hiyo sheria ya kumuhukumu sababu bunge lilishapita ni kwanini spika asitumie madaraka yake kwa kumuhukumu huyu muhuni na kuingiza hiyo sheria katika kumbukumbuku za bunge ili iweze kuendelea kutumika kama Naibu spika alivyoweza kutumia cheo chake kuwaukumu wabunge wachadema kwakutumia sheria ambayo haipo katika vitabu vya bunge.
Je! chama chake anachotoka wamechukua atua gani kwa huyu mbunge wao sababu na amini katika chama chake lazima kutakuwa na kamati ya maadili, je kamati hiyo inampango gani kuwaonyesha watanzania kuwa huyu serukamba kakosa na tumemwazibu kwastaili hii ili kesho hasiweze kurudia kosa ilo na kuonyesha kuwa ccm si mahali pawauni kama watu wanavyo isi sasa kutokana na maneno yaliyo tamkwa na serukamba,katika maadili ya mtanzania mtu yoyote mwenye umri unao karibiana au sawa na baba yake basi mtu huyu unapaswa kumweshimu kama baba yako na heshima sikuzote inaendana na woga.nataka kusema Serukamba ndani ya bunge kuna wazee ambao wanaumri sawa na wazazi wake na waliyokuwa akiangalia kipindi cha kupitia TV wengine wana umri zaidi ya wazazi wake je wametendewa haki.pili bunge haliangaliwi na wazee tu hata vijana wa secondary,chuo,primary je kawa fundisha nini vijana wetu,İna maana huyu mtu hasipokanywa mapema kesho ata mrukia mtu kichwa ndani ya bunge na hatokuwa na makosa sababu alikosa msaada wakukanywa mapema kujua lipi baya na lipi zuri.CCCM RUDİSHENİ İMANİ KWA WATANZANİA HASA KATİKA MAADİLİ HUYU MBUNGE ANAPASWA KUPEWA HAZABU KALİ KUTOKA KATIKA CHAMA CHAKE NA SPİKA PIYA.SABABU SPIKA ANAYO NAFASI YA KUTOA UKUMU HATA KAMA HAIMO KATIKA KANUNI ZA BUNGE.NAMSHUKURU NDUNGAI KUTUONYESHA INAWEZEKANA KUFANYA HIVYO SASA NI WAKATI WA SPIKA KUFATA NYAYO ZA NDUNGAI ILI AWEZE KUTOA AZABU KALI KWA SERUKAMBA. kwa muono wangu takukuru fatilieni ushindi wake wakıti cha ubunge inaonyesha zairi hawa ndio wanao tumia mabavu ya pesa zao kupata ubunge na ndiyo maana hawaogopi,hawaeshimu kwakujua kwamba kinacho mwingiza madarakani si mwananchi bali ni pesa zake.USHAURI KWA SERUKAMBA KAMA MTAZANIA MWENZANGU ITISHA MKUTANO NA WAANDİSHI WA HABARI OMBA MSAMAHA KWA WATANZANIA PILI NENDA JIMBONI KWAKO KAOMBE MSAMAHA.NAAMINI WATANZANIA WATAKUELA SABABU MTOTO NI MTOTO TU ATA AKIKOSA AKIOMBA MSAMAHA TUNAAMINI HATA YEYE AKUFURAHISHA NA TUKIO ILO KWAHIYO HALITA JIRUDIA.
 
Mwacheni sisi huku Kigoma tumeshaandaa adhabu kwa ajili yake.Wahaa tuna utamaduni wa Maadili pamoja na kuheshimu watu wengine.Hatuko tayari kuona mwakilishi wetu akitumia lugha za Matusi ya nguoni dhidi ya watu Wengine.Alichofanya Serukamba kimetufedheesha sana mbele ya jamii ya Watanzania na hilo lichukuliwe kama ni tamko lake kwani hatujamtuma kufanya hivyo.
 
Huyo kasamehewa baada ya kutambua kosa lake
kama walivyotambua wale wa EPA? Mbona mahakamani watu wengi tu huwa wanatambua makosa yao na kutaja msululu wa matatizo LAKINI WANAISHIA KUAMBIWA... ILI IWE FUNDISHO KWA WENGINE..??? Hivi huyu hakutakiwa apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine..??
 

Lakini anawawakilisheni... na inawezekana ndo asiyejuwa kutukana kabisaaa huko kwenu, sasa mkituletea mnayemuona nyie kwamba ndo kinala wa matusi huko si tutakufa ..??
 
Serikali inaendeshwa na wahuni hata fanywa chochote angekuwa chadema magazeti yangeandika mwaka mzima TBC ingetengeneza kipindi ya kumuhusu yeye...Msimusahau na Nkamia, Lusinde....
 

Ewaaa ndo utaratibu wa chama kilicho shika hatamu kuwasamehe wale wote wanao kubali kutenda makosa
 

ID mpya ya Heche hiyo.
Mnahangaika sana lakini Adabu hamna.
 
nini kifanyike na niushauri gani ccm ichukue kwa wabunge wenye tabia kama hii,sababu kama chama tawala kinaweza kuendesha siasa za namna hii ni kwanini tusishawishike katika matukio mengine huyu Serukamba anatuonyesha picha gani na siku zote watu husema tabia ya mtoto wakiume asilimia kubwa urithi toka kwa baba yake.kama hakurithi kwa baba yake basi baba yake inabidi ampe adhabu kali ili tujue kuwa yuko kinyume na mwanae ıla akikaa kimya ujue wakumlaumu si mtoto bali ni baba.(kamati ya maadili ccm mnafanya nini) mwisho mtoto hasipofunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu.icho tulicho kiona ni kidogo sana inaonyesha anasumu kubwa sana na hii inatokana na support na ushauri mbaya wanao pewa na kupandikizwa chuki mbaya zidi ya upinzan.
 
Watu wanapo lalamika kitu cha spika kimepwaya wana akili zao


bunge limekosa spika mkuu, magumashi sana...huwezi sema mtu aliyetukana F*K kasamehewa kwa vile katambua kosa lake: swali linabaki je, inamaana alikuwa hajui kutukana hivyo ni kosa? kuna shida kubwa naiona kwa kiti cha spika; angekuwa anachukua akili za kuambiwa anachanganya na zake, kidogo ingesaidia: shida kubwa ni kwamba sasa hivi anatumia tu akili za kuambiwa.. sijui labda hana za kuchanganyia
 
Hakuna haki tanzania jamani, na upole wetu ndo unafanya 2zidi kukandamizwa na udikteta wa ccm ingekuwa nje saivi ni maandamano hadi atolewe bungeni, ajabu tumenyamaza na tutaendelea kunyamaza nakuwapa jeuri hawa washenzi wa madaraka. Shame on u ccm go to hell manyoko zenu
 
Kweli haki mbinguni.
Unatukana afu unaomba radhi chap chap.
 
Kwa alichokifanya spika kinatuonyesha dhahir kuwa anapendelea chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…