Wanaarusha wako tayari kesho maana magamba wameamua kumtosa mbunge Lema hatujui siku ya kesho kutatokea nini maana tumesikia wale askari wote waliokuwa Arumeru mashariki wako tayari kwa kupambana na nguvu ya umma kesho.
Mungu atuepushie balaa hili kesho Arusha.
Ndugu yangu naona wewe unaota ndogo za HUKUMU YA MHE. Lema. Kesho tarehe 05/04/2012 ndiyo siku ya HUKUMU. Usilale kesha ukimwombea ashinde
Hivyo ni vitisho.Naona umeshahukumu hiyo kesi.Kwanini ujawe na wasiwasi juu ya hiyo kesi au unaamini kuwa Mh.Lema alitenda kosa analotuhumiwa nalo?Kama alitenda na ushahidi umemuunganisha na kosa basi hukumu lazima itambeba tu lakini kama hakutenda na ushahidi ulikuwa mwepesi basi kesi atashinda.Usiwe mtu wa kulalamika na kuleta vitisho kwani inawezekana haupo Arusha.Hatuogopi vita japo hatuvipendi tunajua jaji ashapewa rushwa kama ilivyokawaida ya magamba ila tumejitoa kunusuru jimbo letu hapatakalika endapo atashindwa wakati mwenendo mzima wakesi hiyo tunaujua ulivyokua kuanzia mwanzo mpaka hapa kesi yakizushi mashahdi wenyewe hawakua na msimamo katika ushahdi wao.tunawahakikishia ikiwahivyo ndipo watu watajua kua muhmili wa kwanza wa nchi ni raia arusha haitokalika nahuyo jaji itabidi alindwe na jwtz bila hivyo sijui ataish wapi.
Chuki at its best!Mi nashauri mahakama wamwache tu lema,elimu yenyewe ni ziro,sana sana atarudi kwenye biashara zake za ujambazi na kutesa wananchi.
Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.
Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo
Kuna mtu mtu humu anajiita Chatu Dume aliahidi Chadema ikishinda Arumeru atajinyonga, sasa na wewe tunakuomba utoe ahadi Lema akishinda utatoa takko?Glema OUT, akaendeleze kashfa na unyanyasaji mitaani
Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.
Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo
Ho old are you?Anzeni kuvuta msuba kuanzia leo,mkeshe mkilanduka ili wakati inatoka huku mtakua mmeshakua vichaa. Hata maumivu ya virungu hamuwezi kuhisi tena.
Kama lema anakosa basi awajibiswe,na uchaguzi ukirudiwa basi asahau ubunge,arusha lazima itarudi ccm hata ikibidi magumashi yafanyike.nyie furahieni arumeru,ilikua chambo hiyo