Hukumu ya kesi ya kupinga ushindi wa Waitara

Waitara Mwita

New Member
Jan 30, 2016
1
2
TAARIFA MUHIMU:
Leo saa saba mchana mahakama Kuu ya Dar es Salaam itatoa hukumu ya pingamizi lililowekwa na Mawakili wa wetu kwamba shauri la kupinga ushindi wetu lilifunguliwa nje ya muda unaotakiwa kisheria (sheria inataka shauri la kupinga matokeo lifunguliwe ya Siku 30 tangu matokeo yalipotangazwa).

Kwa mujibu wa hati ya mashataka upande wa Jerry ulifungua shauri mahakama kuu Siku ya Tarehe 27.11.2015 na ukuhesabu kuanzia tarehe 27.10.2015 Siku ambayo matokeo yametangazwa hadi tarehe ya kufunguliwa kwa mashtaka utaona ni Siku ya 31 ambayo ni kinyume kabisa na sheria ya uchaguzi.

Kama mnavyokumbuka Siku ya ijumaa kila upande uliwasilisha Maelezo yake mbele ya Jaji Halfan wa mahakama kuu na kuahidi leo tarehe 08.02.2016 mahakama itatoa hukumu. Hukumu hiyo itatolewa leo saa saba mchana.
 
kama kuna ombi nje ya muda ombi litakubalika
 
Back
Top Bottom