Sasa mbona ilisemwa leo ndio hukumu; hakuna mawasiliano yanayoeleweka? Halafu ikifika Januari 22 itakuwa ni "siku ya kufikiria lini tutoe hukumu"?
Acha uoga wewe babuTunaandaliwa kisaikologia kabla ya kutufungia mtandao pendwa, watu watakuwa hawana kosa ila JF itakuwa na makosa ya kufungiwa subiri uone
It's true, the info given is sketchy, watu tumejitokeza mahakamani Kisutu, kumbe imepangiwa tarehe nyingine. Kwenye mass mobilization, updates should have been within minutes. Unapoacha shughuli zako to join forces kuonyesha solidarity for the just cause, halafu unakuta nothing, unakuwa a bit frustrated.Sasa mbona ilisemwa leo ndio hukumu; hakuna mawasiliano yanayoeleweka? Halafu ikifika Januari 22 itakuwa ni "siku ya kufikiria lini tutoe hukumu"?
It's true, the info given is sketchy, watu tumejitokeza mahakamani Kisutu, kumbe imepangiwa tarehe nyingine. Kwenye mass mobilization, updates should have been within minutes. Unapoacha shughuli zako to join forces kuonyesha solidarity for the just cause, halafu unakuta nothing, unakuwa a bit frustrated.
Let's wait for 22nd January, 2020.
P
Hahaha unachekesha ushawishi gani unaoutumia kesi iwe dismissed?!Sa
Sasa ni kwamba hawakuwa na taarifa sahihi kuhusu siku ya hukumu au kuna mtu amechanganya mambo; maana wengine tunatumia ushawishi wetu wote to have this case dismissed with prejudice...
Na iwe hivyo