Ado Shaibu
Member
- Jul 3, 2010
- 99
- 111
Mahakama Kuu ya TZ Chini ya Jaji Kiongozi Dk. Feleshi kesho tarehe 20 Sept ( Saa 7.00 Mchana) inatarajia kutoa hukumu ndogo (Ruling) khs mapingamizi yaliyowekwa na Serikali kwenye kesi ya Ado Shaibu Vs. John Pombe Magufuli & Others kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi.
Pamoja na mambo mengine, upande wa serikali unaomba kesi hii ifutwe kwa kile inachoona kuwa haijazingatia matakwa ya kikatiba na kisheria ya kinga ya Rais kutoshtakiwa.
Zaidi pitia mapingamizi hapa chini:
View attachment 1211691View attachment 1211692
Kweli aisee, maana mifumo tuliyonayo inauwezo wa kulinda maslahi ya mtu zaidi kuliko maslahi ya Taifa!.Mahakama ziko mifukoni mwa nduli na dikteta wa chato hivyo kesi kama hii dhidi ya dikteta ushindi sahau kabisa labda kama huyo hakimu hajipendi.
Kweli aisee, maana mifumo tuliyonayo inauwezo wa kulinda maslahi ya mtu zaidi kuliko maslahi ya Taifa!.
Ujinga uliopo kwenye hii kesi hautofautiani na ujinga wa kesi ya Tundu kudai alikuwa mahututi ubelgiji hadi akashindwa kumtumia hata sms boss wake kumjulisha yupo wapi, wakati utube tukimuona akitetea mashoga.Mahakama Kuu ya TZ Chini ya Jaji Kiongozi Dk. Feleshi kesho tarehe 20 Sept ( Saa 7.00 Mchana) inatarajia kutoa hukumu ndogo (Ruling) khs mapingamizi yaliyowekwa na Serikali kwenye kesi ya Ado Shaibu Vs. John Pombe Magufuli & Others kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi.
Pamoja na mambo mengine, upande wa serikali unaomba kesi hii ifutwe kwa kile inachoona kuwa haijazingatia matakwa ya kikatiba na kisheria ya kinga ya Rais kutoshtakiwa.
Zaidi pitia mapingamizi hapa chini:
View attachment 1211691View attachment 1211692
Ni popyulariti mkuuChiipu popyuraliti.
Kwa mara nyengine tena mahakama itajidhalilisha??
Kwa mara nyengine tena mahakama itajidhalilisha??
Pamoja na mambo mengine, upande wa serikali unaomba kesi hii ifutwe kwa kile inachoona kuwa haijazingatia matakwa ya kikatiba na kisheria ya kinga ya Rais kutoshtakiwa.
Na mnapobinuaga pua hakuna aliye juu ya Sheria. mnamaanishaga nini?Ni kujidhalilisha au wao wanatumia katiba na sheria.
Iko wazi kwenye katiba, Rais hashtakiwi. Sasa hapo Mahakama itakuwa imekosea wapi.
Tuanze na kesi ya kuondoa kifungu Cha kutoshtakiwa.