Humu hakuna asiyesoma tena wote level za juu, humu kila Mtu analipwa vizuri tena wengine wanaleta uzi wanataka kuacha kazi Mshahara mdogo Milioni 2 kwa Mwezi, humu hakuna anayeamini Uchawi sijui nyuma ya Pazia, humu hakuna asiyewahi kutembelea japo Nchi 5, humu hakuna Mtu ambaye kwa siku hatumii 50k kwenda mbele kwa siku..... kwa kua hatujuani shangaza umasikini na wewe!!!!