Huku ni kupendwa tu au kuna kingine?

Huku ni kupendwa tu au kuna kingine?

Mwambie hauko tayari kuolewa nae... Hizo m3 fungua biashara uizungushe then urudishe hela ya watu
 
Una million tatu unatafuta kazi ya kufanya usafi maofisini?-au hzo million tatu umefungulia kampuni ya kufanya usafi ulikuwa unatafuta tenda?
 
Wote wezi tofauti ni mwanamke mmoja kaiba mil 50 na wewe mil 3.
Tumshauri mzee achukue RB na sio wewe.
 
Zungumza na moyo wako bidada. Dizaini unathamini material things zaidi kuliko vitu vingine katika mahusiano. Haya unayoshauriwa hapa jitahidi kuchanganya na akili zako. Kila la kheri
 
sasa humtaki kvp mana inaonekana alishakugegeda tayari .....kwann usikubali tu akuoe au unaogopa walimwengu watakusema vibaya??....ishi utakavyo
 
Hivu kumbe bado kuna wanawake wanataka shida?
 
yani wewe ni chagua la pili.......wakisameheana hauna chako..........
 
Uzee mwisho chalinze.....

Wewe ng'ag'ania vijana wakupe stress tu
 
Mianamke Mingine bhana... Kyline Mbona Kaolewa Na Reginald Mengi
 
Back
Top Bottom