Huku ni kuogopa gwanda ama??

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Mimi nisingefikia hatua hii
 

Attachments

  • 1422206691096.jpg
    94.2 KB · Views: 950
Uko ni kutii sheria bila shurutiiiii. Kheri kuonekana mjinga ukawa salama, kuliko kuonekana mjanja kwa muda lakini ukapata shida kubwa
 
Uko ni kutii sheria bila shurutiiiii. Kheri kuonekana mjinga ukawa salama, kuliko kuonekana mjanja kwa muda lakini ukapata shida kubwa

Hivi maana ya hilo neno la kutii sheria bila shuluti unalielew??
 
Huyo mama nae ni kutaka sifa tu hapo nae anahesabu amawakamata au wanajipeleka wenyewe?
 
!
!
watakuwa wanajulikana sana na huyo mama kiasi kwamba wanafikiri wakitoka nduki au kuleta za kuleta msala utakuwa mkubwa baadae. Lakini pia kuna raia wapenda sifa, ukuchoropoka hapo hawakawii kukuitia mwizi ukafa bure.
 
hao jamaa wamemuhushimu tu kama Mama yao, lakini huyo hana ubavu wa kuwakamata hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…