Uchaguzi 2020 Huku ni kuishiwa hoja za kisiasa na nidhahiri mgombea wa CHADEMA amejitanabaisha hafai kuwa Rais

Chadema wameishiwa kila kitu wamebaki na matusi tu
Sidhani kama ni kweli,usingekuwa unakesha humu kila siku kuwaongelea wao na inaonyesha ni namna gani unawafuatilia kwa umakini tena neno kwa neno. Chadema ni kama maji kwako,usipoyanywa utayaoga.
 
Chadema walikataa ushauri wa kamanda mbowe, hapo ndipo chadema ilipokufa, tarehe 28 oct 2020 inazikwa rasmi!

Hilo wanalijua, wapo kwenye mpango wa vurugu, hilo nalo mwanaharakati huru kaliweka wazi! Kwahiyo mkataa pema pababaya panamuita.
 
Bashe na Kakobe walihojiwa kwa mujibu wa sheria kuhakiki uraia wao.

We pimbi usie na akili,Geita ni Burundi. Ndio unamshauri Lissu aropoke upuuzi?
Hiyo sheria mbona haikufanya kazi tokea wakiwa wadogo au vijana,yaani ije ifanye kazi watu wakishakuwa wazee tena baada ya kuanza kuikosoa serikali??Wewe sijui unafikiria kwa kutumia kiungo gani mwilini,maana hata lile tundu la kwenye makalio limekuzidi.
 
So kwa sababu Geita kuna warundi wengi ndio JPM awe mrundi?
Ukiwa Geita hata kijijini namna gani Mrundi na Mnyarwanda wanajulikana. Mara kwa mara kuna operation za kuwakamata na kuwarudisha kwao. Acha kutumia kinyesi kufikiria tumia akili.
Washakamatwa wangapi???au unasubiri wanze kuikosoa serikali ndo muanze kuwahoji uraia wao??Acha kutumia hilo tundu katikati ya makalio kufikiri..shwain.
 
Mwambieni Magu aonyeshe cheti hadharani kama hatafanya hivyo sisi huku uswazi tutajua hana na sio Mtanzania..Obama alibanwa kwamba kazaliwa Asia akatoa cheti hadharani...
Pengine mda huu polepole kaenda kutengeneza cheti waje kukionyesha ndipo wazidi kuwaudhi watu kwani watazidi kukasirika kwa kuwafanya wajinga wakati wanajua mtukufu hana cheti.
 
Siku anaweka pingamizi mlikuwa mnashangilia kama mazuzu, baada ya kutupwa pingamizi lake hamjamuhoji kuwadanganya na mmenyamaza kimya na yeye pia kanyamaza,
Sasa hapo nani ni fyongo kama sio ninyi mliokuwa mnashangilia utopolo huku nyumbani mmeacha wake na watoto wanawangalia.
Wewe ndo fyongo maana hujui hata basis na legitimacy ya hayo mapingamizi,wewe ni sawa na kinyesi kwenye sewage pipe, unaperekwa kokote mmiminiko unakoelekea.
 
Chadema walikataa ushauri wa kamanda mbowe, hapo ndipo chadema ilipokufa, tarehe 28 oct 2020 inazikwa rasmi!

Hilo wanalijua, wapo kwenye mpango wa vurugu, hilo nalo mwanaharakati huru kaliweka wazi! Kwahiyo mkataa pema pababaya panamuita.
Inakufa wakati mnafanya kila aina ya figisu mshinde hata kabla kura hazijaanza kupigwa??kuna haja gani ya kuhangaika na hayo yote kwa chama kinachoelekea kufa???Mnazidi kujiprove wrong hata kwa wapenzi wenu 'wanyonge'.
 
Mimi binafsi nilitegemea kuwa Chadema mwaka huu baada ya kufanya makosa mwaka 2015 na kumsimamisha Lowasa kugombea urais,nilitarajia mwaka huu wangeweka mgombea makini na mwenye uwezo wa kunadi sera ambazo zinaweza kurudisha imani ya wananchi kwa chama hiki.

Lakini kadiri kasi ya upigaji kampeni inavyoongezeka inaonyesha wazi kuwa hali sio hivyo,maana kadiri siku zinavyokwenda ndio mgombea wao Tundu Lissu anazidi kuongea majukwaani hoja ambazo zinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa aina yoyote kwa taifa letu. Maana mbunge,diwani hata mtendaji kata huwezi kuongea haya anayoongea Lissu.

Tundu Lissu ni mwanasheria na anajua kabisa Uhamiaji ni chombo ambacho kiliundwa kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ili kudhibiti uingiaji na utokaji wa raia wa kigeni. Maana kama hiki chombo kisipokuwa makini hata usalama wa taifa letu unakuwa hatarini, maana wageni wanaoingia na kutoka sio wote wana nia njema kwa taifa letu. Kwa hiyo kusema hiki chombo kinahoji wananchi wa kigoma vyeti vyao vya kuzaliwa bila utaratibu ni kuongea pumba.

Kitendo cha Tundu Lissu kulalama majukwaani kuwa wananchi wa kigoma wamekuwa wakiulizwa vyeti vya kuzaliwa si cha kweli na hii ni uthibitisho kuwa amekosa hoja za kuibana serikali ili aweze kupata kura.
Ipo wazi Idara ya uhamiaji huwa wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi, na wanapokuwa na mashaka na uraia wa mgeni au mtu ambae hawana uhakika juu ya uraia wake lazima ahojiwe ili atoe inyaraka za kuthibitisha uraia wake. Na hili linafanyika kwa manufaa ya taifa kiusama na kisheria.

Hili halifanyiki kwa wananchi wa Kigoma tu bali linafanyika kwa Tanzania nzima iwe ni mikoa ya mipakani au hata isiyokuwa ya mipakani. Kwa hiyo kwa mkoa ambao upo mpakani kama kigoma,kwa manufaa ya taifa letu umakini ni lazima uwe juu zaidi.

Hoja kuwa wanaoikosoa serikali ndio wanahojiwa uraia wao, haina mashiko. Mimi nafikiri afahamu kuwa wengi ni wale ambao wanatokea maeneo ya mpakani ambao kwa namna moja au nyingine vyombo vya dola vinawahoji si kwa sababu ni wakosoaji, bali ni katika kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria. Kama hoja ni kuikosoa serikali basi hata marehemu Mch Mtikila angehojiwa uraia wake.

Kutamka hadharani kuwa eti rais Magufuli hana cheti cha kuzaliwa hii pia ni uthibitisho kuwa Lissu hana hoja za kuibana Ccm ili itoke madarakani.Lissu anayo access ya personal documents za JPM? mpaka aseme hana cheti cha kuzaliwa? Hii ni aibu kubwa sana kwa mwanasheria kuongea jambo kama hili hadharani,tena huku akitambua kuwa ni kosa maana hapo ni kama ameudanganya umma. Je kesho ikitokea cheti cha kuzaliwa cha JPM kikaonyeshwa hadharani atasema nini?

Chadema kama mngelikuwa nawashauri wazuri mngelikatisha kampeni za mgombea urais maana sasa ni kama kupoteza muda na pesa,huku mgombea wenu amekosa sera za kuambia atawafanyia nini watanzania na kubaki kuongea masuala yasiyo na msingi.
Dogo! Umezaliwa juzi hujui Pan africanism, tuliimba sana afrrika Ni moja, vyeti vya Nini?

Unadhani Nyerere angekuwa na roho mbaya angeruhusu Wazazi wa magufuli wapewe hifadhi hapo Chato? Miaka ya 1950
 
Magufuli ana cheti cha kuzaliwa?
 
Hawa waache tu ndugu yangu, TL anajichanganya kinoma. Akiwa kule Mpanda kaseme eti uwanja wa ndege wa mpanda hautumiki hadi nyasi zimeota. Kitu ambacho sio kweli. Akiwa Kule Mbeya kasema mashamba yote yanamilikiwa nawatu binafsi wakati mashamba mengi sana JPM aliyafuta na kuwagawia wananchi.

Ameshatembea kwenye kampeni haoni matumaini ya kuwa Rais sasa amebaki lopolopo na kituko kwenye majukwaa.

Kachanganyikiwa hadi hanyoi.
 
Mimi binafsi nilitegemea kuwa Chadema mwaka huu baada ya kufanya makosa mwaka 2015 na kumsimamisha Lowasa kugombea urais,nilitarajia mwaka huu wangeweka mgombea makini na mwenye uwezo wa kunadi sera ambazo zinaweza kurudisha imani ya wananchi kwa chama hiki.

Lakini kadiri kasi ya upigaji kampeni inavyoongezeka inaonyesha wazi kuwa hali sio hivyo,maana kadiri siku zinavyokwenda ndio mgombea wao Tundu Lissu anazidi kuongea majukwaani hoja ambazo zinamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa aina yoyote kwa taifa letu. Maana mbunge,diwani hata mtendaji kata huwezi kuongea haya anayoongea Lissu.

Tundu Lissu ni mwanasheria na anajua kabisa Uhamiaji ni chombo ambacho kiliundwa kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ili kudhibiti uingiaji na utokaji wa raia wa kigeni. Maana kama hiki chombo kisipokuwa makini hata usalama wa taifa letu unakuwa hatarini, maana wageni wanaoingia na kutoka sio wote wana nia njema kwa taifa letu. Kwa hiyo kusema hiki chombo kinahoji wananchi wa kigoma vyeti vyao vya kuzaliwa bila utaratibu ni kuongea pumba.

Kitendo cha Tundu Lissu kulalama majukwaani kuwa wananchi wa kigoma wamekuwa wakiulizwa vyeti vya kuzaliwa si cha kweli na hii ni uthibitisho kuwa amekosa hoja za kuibana serikali ili aweze kupata kura.
Ipo wazi Idara ya uhamiaji huwa wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi, na wanapokuwa na mashaka na uraia wa mgeni au mtu ambae hawana uhakika juu ya uraia wake lazima ahojiwe ili atoe inyaraka za kuthibitisha uraia wake. Na hili linafanyika kwa manufaa ya taifa kiusama na kisheria.

Hili halifanyiki kwa wananchi wa Kigoma tu bali linafanyika kwa Tanzania nzima iwe ni mikoa ya mipakani au hata isiyokuwa ya mipakani. Kwa hiyo kwa mkoa ambao upo mpakani kama kigoma,kwa manufaa ya taifa letu umakini ni lazima uwe juu zaidi.

Hoja kuwa wanaoikosoa serikali ndio wanahojiwa uraia wao, haina mashiko. Mimi nafikiri afahamu kuwa wengi ni wale ambao wanatokea maeneo ya mpakani ambao kwa namna moja au nyingine vyombo vya dola vinawahoji si kwa sababu ni wakosoaji, bali ni katika kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria. Kama hoja ni kuikosoa serikali basi hata marehemu Mch Mtikila angehojiwa uraia wake.

Kutamka hadharani kuwa eti rais Magufuli hana cheti cha kuzaliwa hii pia ni uthibitisho kuwa Lissu hana hoja za kuibana Ccm ili itoke madarakani.Lissu anayo access ya personal documents za JPM? mpaka aseme hana cheti cha kuzaliwa? Hii ni aibu kubwa sana kwa mwanasheria kuongea jambo kama hili hadharani,tena huku akitambua kuwa ni kosa maana hapo ni kama ameudanganya umma. Je kesho ikitokea cheti cha kuzaliwa cha JPM kikaonyeshwa hadharani atasema nini?

Chadema kama mngelikuwa nawashauri wazuri mngelikatisha kampeni za mgombea urais maana sasa ni kama kupoteza muda na pesa,huku mgombea wenu amekosa sera za kuambia atawafanyia nini watanzania na kubaki kuongea masuala yasiyo na msingi.
Wewe ndiyo inabidi ujihoji au ujiulize unaweza ukawa unaufahamu wa kumwelewa mtu? Tundu Lisu kwa kusema vile alikuwa anatuma message kuwa watawala wanatawala bila ya kufuata katiba/sheria au katiba yenyewe haitoshelezi. Ndiyo maana akatoa "Zinger", Hata Magufuli Hana cheti cha kuzaliwa. Elewa kuwa nchi hii ina miaka 60, watua wote/wengi hawana hata IDs, wala birth Certificates. CCM wakishindwa kumkabili mtu wanatumia vigezo kama Birth Certificate or ID kum comfront mtu. Badala ya vitu hivi kuwa mandatory, kisheria zaidi. Je unajua kuwa hata Magufuli hana cheti cha kuzaliwa?
 
Back
Top Bottom