Huku ndiko tunakoelekea kama taifa

Maswali tunayofaa kujiuliza sisi sote

"Je tumekubalina na mfumo wa vyama vingi kwenye Nchi yetu?
Jibu ni ndio na inajibu katiba yetu ibara ya 3 kuwa "Jamuhuri ya muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa isiyokuwa na dini yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya kisiasa.

Anazungumza Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mh. John Wegesa Heche
 
Japo ni ya miaka miwili iliyopita. Watu wamefukua kaburi kuna jambo halipo sawa kabisa na kuna namna ya kuyaweka sawa haya mambo.
 
"Walitupiga tukiwa tumelala chini na kisha kufuta taarifa zote kwenye simu zetu"
"Ukatili huu hautuvunji motor badala yake wanatengeneza visasi kwao na kwa vizazi vyao vyote"

Mh. All I. JUMA Naibu KM Zanzibar
 
Uliona wapi mwalimu wa nidhamu akapendwa na wanafunzi wahuni? , ukiona anapendwa na wanafunzi wahuni shuleni chukua hatua haraka kama wewe ni mwalimu mkuu
 
Uliona wapi mwalimu wa nidhamu akapendwa na wanafunzi wahuni? , ukiona anapendwa na wanafunzi wahuni shuleni chukua hatua haraka kama wewe ni mwalimu mkuu
chiembe wewe ni juha tuu... Na una maono kimo cha mbilikimo kaka wale majuha wengine
 
Mungu si Athumani

Your browser is not able to display this video.
 
Kwahiyo Mshana Jr na wewe unaonesha kufurahia mambo haya?hata kama ni hivyo ulipaswa kufurahi rohoni siyo hadharani
Kuonesha hali iliyopo siyo kufurahia, unataka watu wanyamaze kimya nani atawasemea walioumia juzi? Huwezi kujua maumivu yake mpaka likukute.
 
Uliona wapi mwalimu wa nidhamu akapendwa na wanafunzi wahuni? , ukiona anapendwa na wanafunzi wahuni shuleni chukua hatua haraka kama wewe ni mwalimu mkuu
Kwa situation kama hii huu ni mfano unaostahili kuitwa wa kijinga wa level ya juu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…