We kweli kin.embe!Uliona wapi mwalimu wa nidhamu akapendwa na wanafunzi wahuni? , ukiona anapendwa na wanafunzi wahuni shuleni chukua hatua haraka kama wewe ni mwalimu mkuu
Ni vigagula na wachawi wa voodooCCM ni zaidi ya majambazi
Kuonesha hali iliyopo siyo kufurahia, unataka watu wanyamaze kimya nani atawasemea walioumia juzi? Huwezi kujua maumivu yake mpaka likukute.Kwahiyo Mshana Jr na wewe unaonesha kufurahia mambo haya?hata kama ni hivyo ulipaswa kufurahi rohoni siyo hadharani
Kwa situation kama hii huu ni mfano unaostahili kuitwa wa kijinga wa level ya juu kabisaUliona wapi mwalimu wa nidhamu akapendwa na wanafunzi wahuni? , ukiona anapendwa na wanafunzi wahuni shuleni chukua hatua haraka kama wewe ni mwalimu mkuu