Fascination Member Mar 21, 2015 86 55 Jan 20, 2016 #1 Nimeipata hii leo,maji ya mvua yameingia hadi ndani mlimani city...inamaana huku nako bondeni?? Attachments 1453310343262.jpg 28.6 KB · Views: 69
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,141 3,834 Jan 21, 2016 #4 Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, huenda mafuriko yamemiss watu wake sasa yameamua kuhamia sehemu zenye watu
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaah, huenda mafuriko yamemiss watu wake sasa yameamua kuhamia sehemu zenye watu
The Bleiz JF-Expert Member Jan 7, 2012 5,068 13,485 Jan 21, 2016 #5 Hako kajiji katazama cku sio nyingi.
Polisi jamii JF-Expert Member Mar 22, 2013 2,604 1,381 Jan 21, 2016 #8 hata ikulu imejengwa pembeni ya bahari si sehemu hatarishi
F Filys Member Jan 22, 2012 79 21 Jan 22, 2016 #10 Fascination said: Nimeipata hii leo,maji ya mvua yameingia hadi ndani mlimani city...inamaana huku nako bondeni?? Click to expand... Kwa hiyo unataka mlimani city ibomolewe? Dar yote haina bonde, tatizo kubwa ni miundo mbinu dhaifu.
Fascination said: Nimeipata hii leo,maji ya mvua yameingia hadi ndani mlimani city...inamaana huku nako bondeni?? Click to expand... Kwa hiyo unataka mlimani city ibomolewe? Dar yote haina bonde, tatizo kubwa ni miundo mbinu dhaifu.