T thadei kimambo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 220 Reaction score 126 Dec 11, 2013 #1 Huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya Mw.nyerere kavua shati.
Huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya Mw.nyerere kavua shati.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Dec 11, 2013 #2 Mh!!!!pole kwa joto...me nilijua utamkuta amefungua AC
S st.ignatues loyolo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 230 Reaction score 30 Dec 12, 2013 #3 yaaani kuna joto mpaka naogelea kwenye majasho
W wakunyata Member Joined Oct 14, 2012 Posts 67 Reaction score 16 Dec 12, 2013 #4 Huku kwetu kuna joto hadi maji ya kuogea tunahifadhi kwenye Fridge!
T thadei kimambo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 220 Reaction score 126 Dec 12, 2013 Thread starter #5 Hahaha
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,660 Reaction score 23,140 Dec 13, 2013 #6 thadei kimambo said: huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya mw.nyerere kavua shati. Click to expand... note ya elfu 10 kuna picha ya mwl nyerere?
thadei kimambo said: huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya mw.nyerere kavua shati. Click to expand... note ya elfu 10 kuna picha ya mwl nyerere?
W wakunyata Member Joined Oct 14, 2012 Posts 67 Reaction score 16 Dec 14, 2013 #7 Angel Nylon said: note ya elfu 10 kuna picha ya mwl nyerere? Click to expand... Som kwa umakini. kaandika elfu moja.
Angel Nylon said: note ya elfu 10 kuna picha ya mwl nyerere? Click to expand... Som kwa umakini. kaandika elfu moja.
W wakunyata Member Joined Oct 14, 2012 Posts 67 Reaction score 16 Dec 14, 2013 #8 Huku kwetu Joto hadi maji ya kunywa tunaweka juani yanachemka!
S Sir Moi Member Joined Sep 11, 2013 Posts 13 Reaction score 4 Dec 14, 2013 #9 thadei kimambo said: Huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya Mw.nyerere kavua shati. Click to expand... kuna jamaa kaachama na kuacha ulimi nje akidai ulimi una jasho... hili joto nowma!!!
thadei kimambo said: Huku kwetu kuna joto sana hadi ukitoa noti ya elfu moja mfukoni utaona picha ya Mw.nyerere kavua shati. Click to expand... kuna jamaa kaachama na kuacha ulimi nje akidai ulimi una jasho... hili joto nowma!!!
W wakunyata Member Joined Oct 14, 2012 Posts 67 Reaction score 16 Dec 14, 2013 #10 Huku kwetu mtoto anakunya juani dk2 tu unayaokota kama jiwe unarusha mbali.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,660 Reaction score 23,140 Dec 14, 2013 #11 wakunyata said: Som kwa umakini. kaandika elfu moja. Click to expand... Kweli nimeona, macho yamechapia kumbe
wakunyata said: Som kwa umakini. kaandika elfu moja. Click to expand... Kweli nimeona, macho yamechapia kumbe