Huku kwa Huyu Jamaa Kuna Nini?

Huku kwa Huyu Jamaa Kuna Nini?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
[h=1]RAIS SIMBA SC ALIPOKUTANA NA RAIS MTARAJIWA WA NCHI[/h] Home » Unlabelled » RAIS SIMBA SC ALIPOKUTANA NA RAIS MTARAJIWA WA NCHI
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Rais wa Simba SC, Evans Aveva kulia akizungumza na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa walipokutana juzi mjini Dar es Salaam. Lowassa anatajwa kuwa na nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama chake, CCM na tayari amekwishaanza kutabiriwa kuwa mkuu wa taifa wa baadaye. Aveva alichaguliwa kuwa Rais wa Simba SC Juni 29, mwaka huu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[h=1]MALINZI AKUTANA NA LOWASSA NA KUELEZA MIKAKATI YAKE[/h][TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MALINZI AKIWA OFISINI KWA LOWASSA[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema shirikisho lake limepanga malengo ya muda mfupi na mrefu ikiwa na sehemu ya mkakati wa kuendeleza na kuinua kiwango cha mchezo huo nchini.



Malinzi ameeleza mikakati hiyo ya uongozi wake leo (Januari 20 mwaka huu) wakati alipomtembelea Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ofisini kwake jijini Dar es Salaam.


Amesema uongozi wake umepanga malengo hayo ikiwemo kuandaa mashindano maalumu ya kutafuta vipaji mikoani ili kuondokana na mtindo wa timu ya Taifa (Taifa Stars) kuundwa na wachezaji kutoka katika klabu chache tu.


Kwa upande wake Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli ameelezea matumaini yake kwa uongozi mpya wa TFF katika kuunga mkono juhudi za Rais Jakaya Kikwete katika kuimarisha na kuinyayua Tanzania katika ramani ya mpira wa miguu duniani.
 
Sidhani Kama Mani Atakwenda
 
Back
Top Bottom