Huku kupendwa au ni kitu gan hiki

Huku kupendwa au ni kitu gan hiki

Nayo hii ni aina nyingine yakutafuta wapenzi hapa jukwaani'' maana unatufahamisha kwamba upo loose!! Subiri watakupm tu na utapata kazi kwako.

hahhaaa... meipenda hiyo
 
mpenzi hata awe busy kiasi gani kama anakupenda kweli ataweka muda maalum kwaajili yako!
 
mapenzi ni mawasiliano, silence apeleke library....!!!
 
Achana nae kama hawez kutenga mda wa kazi na mda wa kuwa na weww
 
Back
Top Bottom