huku barca VS real na kule ni chelsea VS city

huku barca VS real na kule ni chelsea VS city

Sir oby

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
331
Reaction score
79
tujadili kidogo soka la majuu leo hispania ni el clasico kule ni messi na neymar na huku ni ronaldo na bale japo bado hajarudi kwenye kiwango chake cha spurs, tutarajie matokeo gani hapa, nani anapotezwa, kule EPL ni vigogo wa city na blues wanakutana wakati timu zote zikiwa na matokeo mazuri ya mechi zilizopita,
 
Back
Top Bottom