Huko majuu, Canada, makenikia yameleta balaa...... !

Kuna wengine wanachkua point na like za nguvu kule fb kupitia post za humu....... dah
 
Barafu kaka ukweli nakupongezaa saaana na Mungu aendelee kukupa nguvu,akili,na utashi katika kazi zako.Nakuomba saaana utupe kidogo hali ya huko Canada kuhusu hili ili tujue na huko pakojeee
 
Hapana si kamati ya prof.osoro alisema hawa acacia ndio tunawadai na hawajasajiliwa hapa nchini?
Hatutaki matatizo tunadai haki yetu ukweli namtamani Magufuli afanye kile Alichofanya Gadaf Libya mikataba yote ya madini avunje bora tuwalipe sisi ili tuanze upya
 
Link Kwa nchi makini,serikali ya ccm ilipaswa ijiuzuru baada ya ripoti ya mchanga,ni watuhumiwa wakuu!

Link2. Breaking News: - IKULU DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick, wakubali kulipa deni

Link3. Rais Magufuli amepatia jambo moja kwenye makinikia, amekosea jingine

 
Kuna wengine humu wanaamini check itafika TRA jumatatu.
 
Ila hayo maongezi yote hadi waliongea ndani au yale kwa press conference tu? Kwasababu pale kama kafupisha tu
 
True ila from different source, ambayo nayo inaelekea ilikucopy!
Talk of a small world!
Hata hivyo heshima kwko, true source, barafu!
Usijali mkuu
Take it easy...Haya mambo hayana haki miliki,muhimu ujumbe uliokusudiwa uwafikie wote wenye kukusudiwa
Asante sana kwa mara nyingine,uniwie radhi kama kwa kauli fulani juu ya hili jambo nimekukwaza.

Mungu Mkuu atukuzwe
 
Hamna sehem kasemawe will pay what ww have stolen from you
 
Plagiarism!
Siyo kweli mimi nina thread zangu nyingi sana hapa nashindwa hata kuzipata sababu zinaunganishwa na za wengine bila kuacha ya kwako. Inawezekana kabisa jamaa aliweka yake na ikaunganishwa na barafu.
 
Jibu ni kwamba watataka uchunguzi huru ili wajisafishe na si kukubali hizi data zinazowachafua na wakilipa maana yake wanakiri hii hujuma hivyo tusitarajie watakubali kirahisirahisi tu kulipa maana hii itakuwa ni damage kwao.
Huna tofauti na fisi anayesubiri mkono uanguke
 
MKulu anasema wamekubaliana na "Mwizi" alipe na atalipa. "Mwizi" anasema amekuja kusaidia kutafuta suluhisho kwa hiyo watakutana kwenye meza ya mazungumzo.

Je Mkulu ametoa kauli hii kuwapaka mafuta wadanganyika?

Link Sakata La Madini...je ni funika kombe mwanaharamu apite?

Link2. IKULU DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick

Link3. Lissu: Magufuli ameahidi kuwa sheria za madini zitarekebishwa kufuatana na mapendekezo ya kamati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…