Huko majuu, Canada, makenikia yameleta balaa...... !

Uandishi uliotukuka yabidi utaje chanzo cha habari yako. Nilifanya hivyo kwa hiyo habari yako humu JF.
 
Swali je acacia wanautajiri huo wa trillion 100 za kuweza kutulipa?
Tusije tukaanza kubadilishiwa maneno baadae
 
Tatizo la watz tuna ubinafsi sana...badala ya kujadili hoja tunajadili nani kaandika nini nani kakopi nini....hii inasaidia nini katika jambo hili?? Akili mgando tuache,tuwe positive results focused itatusaidia
 
Jibu ni kwamba watataka uchunguzi huru ili wajisafishe na si kukubali hizi data zinazowachafua na wakilipa maana yake wanakiri hii hujuma hivyo tusitarajie watakubali kirahisirahisi tu kulipa maana hii itakuwa ni damage kwao.
Walipe chochote kile, lakini kumbuka tutakua tumetoa fundisho
 
Mnajadili nini tena wakati ilishadadiliwa na aliyeleta uzi kwa mara ya kwanza anafahamika.

Weka na wewe akili kwenye friji igande ili twende sawa.

Copy and paste sio nzuri mnakuja aaibika.

Tatizo la watz tuna ubinafsi sana...badala ya kujadili hoja tunajadili nani kaandika nini nani kakopi nini....hii inasaidia nini katika jambo hili?? Akili mgando tuache,tuwe positive results focused itatusaidia
 
ahahaaa huyu jamaa wa leo katisha
 
Mleta mada amecopy uzi wa barafu apuuzwe kama wajinga wengine
 
Tukimalizana na Barrick tuje kwenye geti, ggm na uchafu mwingine wrote!
 
ULikuwepo kwenye mazungumzo ikulu?
 
Moderator futa hii sred tayari ilishaandikwa na barafu ipo humu humu ndani
 
Hivi barafu una id mbili au ni copy and paste ......????
 
Swali je acacia wanautajiri huo wa trillion 100 za kuweza kutulipa?
Tusije tukaanza kubadilishiwa maneno baadae

Bado mnataja Acacia!!!! Eeeeh mnapenda matatizo yaijie nchi yetu
 
Jibu ni kwamba watataka uchunguzi huru ili wajisafishe na si kukubali hizi data zinazowachafua na wakilipa maana yake wanakiri hii hujuma hivyo tusitarajie watakubali kirahisirahisi tu kulipa maana hii itakuwa ni damage kwao.
Wewe jamaaa na timu yako ni wajinga flani hivi msiojielewa kabisa! Sasa hivi wataitisha uchunguzi huru na sio kutushtaki tena?

Alafu unaposema ripoti zinawachafua, ni kwamba wanaonewa ama una maanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…