Huko kwetu tutaacha iungue.

Nguvu zote tumewekeza kwenye Jeshi labda Jeshi la majini hivi vitu vya kuzima moto kwenye matukio kama haya wanavyo.
 
​ni kweli tukidhani kwakuwa ipo kwenye maji itazimwa na maji ya bahari
 
Inaweza ikawa hata haiungui.

Meli inaogeshwa na kaka ake
 
Mkuu kua makini na watoto unaolala nao! Wanatabia ya kukopy na kupest kila wanachokiona.:caked:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…