BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,623
- 3,011
Hakuwahi kujiapisha kuwa rais wa Kenya, hicho kipengele alikikwepa kijanja.Hamna kitu Ruto atafanya maana Raila akiguswa tu nchi itawaka moto. Imagine katika kura million 14 wameachana kura laki 3 pekee meaning ni 50-50.
Kama alijiapisha kuwa Rais na hakufungwa Wala kupiga waandamanaji ndio sembuse sahivi?
Ukabila utawamaliza Kenya
Huku mmeambiwa kulalamika maisha magumu ni unafiki maana hata UK vitu vimepanda bei.
BTW: Kauli ya Ruto kwamba yeye siyo muumini wa Handshake imechangia pakubwa kuibua hiki kinachotokea.
Wapinzani wa kiafrika wanapenda tu recognition hizo za ugumu wa maisha ni porojo tu.
Whatever the case lakini mkusanyiko ulikutana kwa kazi hiyo mbona hawakuwazuia? Kuna machafuko yalitokea?Jakuwahi kujispisha kuwa rais wa Kenya, hicho kipengele alikikwepa kijanja.
Dawa ya maandamano ya kisiasa dhidi ya serikali ni vidonge viwili tu.William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano.
Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa tarehe 20, jumatatu ijayo, sababu ikiwa ni ugumu wa maisha, kuporwa kwa kura wakati wa uchaguzi uliopita, na Ruto kutotimiza ahadi zake ndani ya siku 100 tangu aingie madarakani km alivyoahidi kwenye kampeni.
Sasa ngoja tusubiri km Ruto atawapiga waandamanaji hadi wachakae. AFRICA figisu za uchaguzi zitaendelea kutoa roho za watu. Pia wanasiasa wasiwe wana wachukulia wapiga kura km wajinga. Wanasiasa wamekuwa waongo sana ili tu wapewe kura, na wakishapewa wanaanza kunyanyua makwapa.
In fact, there are no real politicians in Africa but political mongers.
Jumatatu siyo mbali let's wait.