C chama JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 8,001 Reaction score 2,418 Aug 27, 2013 #21 Shomari said: Ritz, Hawa wanacheza Muziki, inaonekana wazi kabisa. lakini hiyo ya kupapasana vitambi na mapaja ni hatari zaidi Click to expand... Acha ushamba mziki upo wapi hapo! Hapo ni hawa makamanda wetu wa kuchora walikwenda kumpokea Mbowe Dulles airport; mambo ya mitego hayo!
Shomari said: Ritz, Hawa wanacheza Muziki, inaonekana wazi kabisa. lakini hiyo ya kupapasana vitambi na mapaja ni hatari zaidi Click to expand... Acha ushamba mziki upo wapi hapo! Hapo ni hawa makamanda wetu wa kuchora walikwenda kumpokea Mbowe Dulles airport; mambo ya mitego hayo!
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,244 Aug 27, 2013 #22 Tuache uzandiki, mwenyekiti wa bunge muhesimiwa J.mhagama anasoma kitambulisho.
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Aug 28, 2013 #23 chama said: Kamanda tunafanya kazi halali; maisha ni kujishughulisha wewe kama huna shughuli sema usaidiwe mapori yapo mengi kilimo kinalipa! tukutumie kwa njia ipi! Click to expand... mkuu kama mnafanya kazi halali na haya madawa yanaingizwa na nani?
chama said: Kamanda tunafanya kazi halali; maisha ni kujishughulisha wewe kama huna shughuli sema usaidiwe mapori yapo mengi kilimo kinalipa! tukutumie kwa njia ipi! Click to expand... mkuu kama mnafanya kazi halali na haya madawa yanaingizwa na nani?
C chama JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 8,001 Reaction score 2,418 Aug 28, 2013 #24 Henge said: mkuu kama mnafanya kazi halali na haya madawa yanaingizwa na nani? Click to expand... Mimi mfugaji unamaanisha madawa ya mifugo? Hayo nayahitaji sana kwa ng'ombe wangu!
Henge said: mkuu kama mnafanya kazi halali na haya madawa yanaingizwa na nani? Click to expand... Mimi mfugaji unamaanisha madawa ya mifugo? Hayo nayahitaji sana kwa ng'ombe wangu!
upendodaima JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 4,086 Reaction score 4,521 Aug 28, 2013 #25 Akili ingekuwa matumbo bila shaka tungekuwa mbali sana.
Doppelganger JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1,858 Reaction score 758 Aug 28, 2013 #26 Magamba yanakoboana...ndo maana hata matoto yao yanawaza umal*** tu...refer Mwamvi** Mauzi
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Aug 28, 2013 #27 Chakaza said: Ushirikiano kitu muhimu wakuu!View attachment 109277 Click to expand... Mambo haya enzi zile za "CCM" ya kweli hayakuwepo asilani!
Chakaza said: Ushirikiano kitu muhimu wakuu!View attachment 109277 Click to expand... Mambo haya enzi zile za "CCM" ya kweli hayakuwepo asilani!
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,949 Reaction score 74,431 Aug 28, 2013 #28 Ritz said: Click to expand... Hehe he! Mtani Ritz hii ni wapi hapo? Kweli raha jipe mwenyewe. Kamanda alikuwa anapiga chacha au rumba hapo. Mambo inogile pande hizi pia; Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ritz said: Click to expand... Hehe he! Mtani Ritz hii ni wapi hapo? Kweli raha jipe mwenyewe. Kamanda alikuwa anapiga chacha au rumba hapo. Mambo inogile pande hizi pia;
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Aug 28, 2013 #29 Wamependeza jamani...
Chemiker JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 506 Reaction score 108 Aug 31, 2013 #30 Chondechonde Baba huo mkono....hapo ulipofika panatosha vinginevyo... Nascent...Fanya kazi ya mkono wa kushoto!!
Chondechonde Baba huo mkono....hapo ulipofika panatosha vinginevyo... Nascent...Fanya kazi ya mkono wa kushoto!!
Chemiker JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 506 Reaction score 108 Aug 31, 2013 #31 Shomari Nafikiri huyo wa kushoto si Mbunge bali ni kiongozi wa chama Taifa...anatokea kanda ya ziwa hivi. Ni alhaj....
Shomari Nafikiri huyo wa kushoto si Mbunge bali ni kiongozi wa chama Taifa...anatokea kanda ya ziwa hivi. Ni alhaj....
sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 Aug 31, 2013 #32 Chakaza said: Ushirikiano kitu muhimu wakuu!View attachment 109277 Click to expand... Nikama anasema,''Ninapotaka mimi ni hapo tu,ninapotaka mimi ni hapo tu'',,,,,,,,,huo mkono uliposhika,mweee
Chakaza said: Ushirikiano kitu muhimu wakuu!View attachment 109277 Click to expand... Nikama anasema,''Ninapotaka mimi ni hapo tu,ninapotaka mimi ni hapo tu'',,,,,,,,,huo mkono uliposhika,mweee
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Sep 1, 2013 #33 Huo mjadala ni wa kungonoka tu siyo kawaida
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Sep 1, 2013 #34 kazi sanaaaaaaa
Shebeneza Senior Member Joined Jul 21, 2013 Posts 139 Reaction score 25 Sep 1, 2013 #35 Wanatongozana
Shebeneza Senior Member Joined Jul 21, 2013 Posts 139 Reaction score 25 Sep 1, 2013 #36 Shomari said: wabunge wa CCM wakijadiliana. Click to expand... Huyo mama anasumbuliwa na Nyege tu hapo.
Shomari said: wabunge wa CCM wakijadiliana. Click to expand... Huyo mama anasumbuliwa na Nyege tu hapo.
Shebeneza Senior Member Joined Jul 21, 2013 Posts 139 Reaction score 25 Sep 1, 2013 #37 Shomari said: wabunge wa CCM wakijadiliana. Click to expand... Nyege tu ndo zinasumbua hapo.
Shebeneza Senior Member Joined Jul 21, 2013 Posts 139 Reaction score 25 Sep 1, 2013 #38 Chemiker said: Chondechonde Baba huo mkono....hapo ulipofika panatosha vinginevyo... Nascent...Fanya kazi ya mkono wa kushoto!! Click to expand... K inasumbua sana!
Chemiker said: Chondechonde Baba huo mkono....hapo ulipofika panatosha vinginevyo... Nascent...Fanya kazi ya mkono wa kushoto!! Click to expand... K inasumbua sana!
Chemiker JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 506 Reaction score 108 Sep 7, 2013 #39 Shebeneza said: K inasumbua sana! Click to expand... Teh..teh..Mimi simo hapo, naogopa maneno ya kwenye khanga...si unajua huyo ni Bingwa wa kuimba taarabu?
Shebeneza said: K inasumbua sana! Click to expand... Teh..teh..Mimi simo hapo, naogopa maneno ya kwenye khanga...si unajua huyo ni Bingwa wa kuimba taarabu?
K kirongo 1 Member Joined Apr 26, 2013 Posts 21 Reaction score 3 Sep 7, 2013 #40 Hata mimi hii picha imenivutia kwa kweli!