Hujuma zingine Wagombea wa CHADEMA Simiyu

Hujuma zingine Wagombea wa CHADEMA Simiyu

huna akili wewe kutwa kubwabwja unadhani wananchi tutaendelea kukulipia fedha ukakamuliwe megu ili utuletee mazezeta ishia huko acha ujinga wewe marehemu wa kisiasa kwanza hata miguu ya kukimbilia huna ikitokea wananchi wanalianzisha kujaza makalio tu
Majibu ya bawacha haya,huwa hampendi ukweli,uvumilivu wa hoja ni zero matusi kwenu ndio ukamanda.
Hilo la kulianzisha liko mitandaoni tu,yule mama wa marekani hana hamu na nyinyi
 
Wakurugenzi pamoja na NEC tukumbuke wanatii maagizo wanayopewa toka 'juu'. tunapita ktk kipindi kigumu mno mno nchi hii.Haikuwahi kutokea na sidhani kama itatokea tena! Eee Mola wetu ushuke utupiganie na kutuokoa.
 
Majibu ya bawacha haya,huwa hampendi ukweli,uvumilivu wa hoja ni zero matusi kwenu ndio ukamanda.
Hilo la kulianzisha liko mitandaoni tu,yule mama wa marekani hana hamu na nyinyi
Sidhani kama unajua kwanini ulizaliwa na duniani unafanya nini!
 
Back
Top Bottom