Hujuma zaanza 'Train ya Mwakyembe'


Watanzania kila kitu tunakipuuza. Kuweka ratiba ya train huhitaji kupitia chuo kikuu.

Nchi yetu imejaa wapuuzi wengi mno kwenye madaraka. Hivi umewahi kujiuliza imekuwaje mpaka leo hii sehemu kama za Sinza, mbezi Beach, etc. hakuna majina ya mitaa?
 
Itabidi achukuwe mwenyewe nauli kwa angalau wiki moja ili ajue wastani halisi wa mauzo kwa kila siku ya wiki halafu awape malengo ya siku!wasipotimiza anafukuza wote na kuleta damu mpya changa wasiojua kuchakachua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…