Hujuma ya Filbert Bayi Jumuiya ya Madola

Hujuma ya Filbert Bayi Jumuiya ya Madola

Sandeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
666
Reaction score
298
Ni ukweli usiopingika, kishindwa kwa Tanzania huko jumuiya ya Madola kunachangiwa na watendaji wa kamati ya Olyimpic,
Bayi anasimama kama katibu, lakini kiuhalisia yeye anaonekana overall incharge wa kamati.

Jamaa walianzisha mashindano pale UWanja wa Taifa kama sehemu ya maandalizi, lakini chakushangaza watu waliokuwa waende Scotland, majina yao yalikuwa tayari yameandikwa hata kabla yakukamilisha mashindano ya ndani.

Hii kamati ya olimpic tanzania Wanastahili kudrop..
 
Back
Top Bottom