Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

Hujuma dhidi ya mikutano ya ACT-Wazalendo

kabanja

Senior Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
173
Reaction score
41
Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT- WAZALENDO.

Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine na wenyewe umekwama. Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka chadema na chadema kama wanataka wamfukuze wenyewe.

Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI JAGE. Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni. Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.

Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.
 
Timu wasaliti.Act na wanasela ya kutetea ushoga na usaliti

swissme
 
Mbavu zako kabisa, hata kuandika hujui. Rudi darasani kwanza!
 
Masaliti hamlali bila kuitaja CDM
 
Toeni chama kutoka mitandaoni hadi kwenye ulimwengu wa kawaida nyie! acheni ujinga na Upuuzi wa kuishirikisha cdm kwenye huo ujinga wenu! Chadema hatuna shida na mtu tupo level nyingine ya juu kuliko wafadhili wenu CCM!
Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa
kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na
kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa
chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT-
WAZALENDO.Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani
wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa
LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO
lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine
na wenyewe umekwama.
Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi
kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama
chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka
chadema na chadema kama wanataka wamfukuze
wenyewe.Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO
akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine
walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI
JAGE.
Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na
wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO
inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano
mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni.
Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO
vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.
Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu
akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa
linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani
ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM
lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.
 
Kiongozi Mkuu AYATOLAH alishawambia acheni kupambana na chadema jengeni chama kwanza.

Cc kabanja
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini chadema msiendelee na mambo yenu ya kueneza chama chenu?

Naona umejiunga kwa kazi maalumu, wakati hata kuandika hujui!

Join Date : 5th April 2015

Posts : 25

Rep Power : 306

Likes Received: 5

Likes Given: 0
 
Kwanza kuna propanda imeanza kuenezwa na chadema kuwa
kuna mgogoro baina ya Mwenyekiti wa chama taifa na
kiongozi wa chama.Hapa ndipo ninawashangaa hawa
chadema,kila kukicha chadema wimbo wao ni ACT-
WAZALENDO.Sakata la LIMBU ,Chadema walidhani
wangefanikiwa kupitia LIMBU kila aina ya msaada walimpa
LIMBU ili afanikiwe kuzamisha ngome ya ACT-WAZALENDO
lkn walishindwa.Sasa wameanza kueneza utumbo mwingine
na wenyewe umekwama.
Sihitaji kueleza historia kubwa,nakumbuka MZEE MTEI aliwahi
kusema kama ZITTO ana nguvu atoke akaanzishe chama
chake,lkn ZITTO akawajibu atakuwa wa mwisho kutoka
chadema na chadema kama wanataka wamfukuze
wenyewe.Chadema mwisho wake wakamfukuza ZITTO.ZITTO
akaamua kujiunga na ACT-WAZALENDO japo wengine
walitangulia akina MWIGAMBA,Prof.KITILA MKUMBO,,MWL.KAI
JAGE.
Hoja kubwa sasa,,Leo Chadema wameandaa mkakati na
wameanza kusambaza sms kuwa ACT-WAZALENDO
inajiandaa kuchukua wanachama wao kupitia mikutano
mikubwa ya hadhara inayoanza hivi karibuni.
Na chadema wameandaa vijana kuwafanyia ACT-WAZALENDO
vurugu kama walivyofanya kipindi fulani MWANZA.
Hivi hawa Chadema wanafanya maamuzi ya kuwafukuzu
akina Zitto hawakuona kama akina Zitto wanao kundi kubwa
linalowaunga mkono na sasa wanasimamia mambo yao ndani
ya chama chao cha ACT-WAZALENDO.
ACT-WAZALENDO wanapambana na mfumo mbovu wa CCM
lkn Chadema makali yao yameelekea ACT-WAZALENDO.
Yameanza kuwashinda mmeanza kutafuta mchawi kutoka nje uwaneni tu hayo ndiyo malipo yenu.

Msitegemee kulipwa mema na Mungu wakati malipo ya mchawi ni kifo.
 
Yameanza kuwashinda mmeanza kutafuta mchawi kutoka nje uwaneni tu hayo ndiyo malipo yenu.

Msitegemee kulipwa mema na Mungu wakati malipo ya mchawi ni kifo.

Malipo ya nini? Mbona unamung'unya maneno kama mtoto wa kike? funguka ueleweke
 
sasa naona rugu limehamia ACT na CHADEMA duu
 
ACT ndo chama pekee kinachotegemewa na wananchi kwa sasa,hao wachaga na saccos yao tumeshawashtukia
 
Hivi nyie wasaliti mmeona CHADEMA ndiyo ngoma yenu ya kuwa mnajitetea mmeanzisha chama ili muwe huru sasa figiso za nini kiongozi wenu wa JESHI LA WAFU alisema hakuna akayesema vibaya chama cha upinzani mbona hamna adabu nyie si mwende fild mkajenge hiyo ngome ya wasaliti. Mwanza mliipandika fresh haiwezekani Limbu hawaite watu mbwa na Mwigamba kwaza yule hata siasa hajui. "IDIOT"
 
Back
Top Bottom