Hujuma chafu hizi chafu traffic Barabarani

Hujuma chafu hizi chafu traffic Barabarani

Wanajua hakuna wa kuwapeleka mahakamani wengi wanaogopa kucheleweshewa mda njiani na usumbufu sababu ukitaka ishu ya mahakamani lzm ulale ndani hivo wengi utoa kishingo upande
Hawa jamaa wanazidi kukela watumia barabara na sipendi kutabiri mabaya lakini ni wazi huenda kukawa na mwisho mbaya. Kuna week wanaibuka mfano na suala la sicker za usalama na wanakamata kila gari inayokatiza, lakini kiuhalisia ni kuwa ili upate hiyo sticker inabidi upeleke gari ikaguliwe na kujihakikishia kwamba ni nzima ...ni magari mangapi yanapelekwa kukaguliwa!? Mtu anatoa tu hiyo 5000 na kuletewa hiyo sticker hivyo kulifanya hili zoezi kiini macho.
Kinachokucha kuleta tatizo zaidi ni kwa wenye Fuso, Kiriku na gari za namna hiyo, yaani kila wakiziona ni lazima wawapige mambao na sijaelewa hadi sasa ni kwa nini uonevu huu umeendelea kuota mizizi!
Stay tuned, wanaweza kuibuka na kisingizio cha 'tairi mbovu' na hiyo week usije kusikia wamekusanya billion 10!
 
walinifanyia mie majuzi..nikawapa changamoto wakashindwa majibu nikaomba wanipeleke mahakamani wakasema twende ukalaze gari kituoni nikakubali mara wakasita kuingia kwenye gari ili twende kituo cha polisi Kawe..wakaniambia kwa sauti ya ukali nenda zako nikacheka kwa dharau
 
Wewe mtoa mada sijue na wewe ni ziro, unasema umepata malalamiko, mbona kama wewe ndie unaelalamika?
 
Back
Top Bottom