Mi ndo mana hili jembe nalikubali kinyama, asije kufa na hiyo cancer he's still needed, except kaniacha hapo alivorelate katrina na racism, katrina was a flood to my knowledge how come inahusishwa na racism i also heard kanye west akim blame bush kwa ile issue, hii inakuaje kuaje mazee. Mbuzi unajua au ume upload tu pctr
Jamaa namzimikia sana huyu.
Of coz nafahamu kua baba yake ni muafrika, ujumbe wangu upo mbali zaidi/@ Abdulhalim
huyu ana damu ya kiafrika pia , kwa hiyo anaweza kujidai na kujigamba kutokana na kuwa ana damu ya kiafrika !!!
Labda ndio yupo Cuba wanajadiliana na Castro,wanaambiana,those Africans must not let us down.They must give the white man a severe thrashing''
Huwa silikubali hili lijamaa Dictetor na roho la madaraka halina tofauti na Museven katiba lilichange liendelee kuwa raisi then lina maneno machafu na pia walatin ni wanafiki kwa maneno yao hawapendi ngozi nyeusi na hutuita ma negro.... na pia hulithishana kuchukia waafrica hawana lolote waende hell tu pamoja na Suarez wao