Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
uwezo wako wa kufikiri na kuanalyse things ni mdogo sana!!
Kwahiyo wewe na baba yako mzazi ndio mna uwezo wa kuanalyse vitu eenh! hebu changanua kwa upana nilichozungumzia mimi tuone uwezo wako au kama huwezi funga domo lako chafu... na siku nyingine uwe unaandika na masahihisho pale unapomkosoa Mtu... Utaishi maisha marefu.