Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Nikweli..Sasa Hilo linaondoaje utapeli was wanaume?
Wanaume tumekuwa matapeli kuendana na mahitaji ya soko. Wanawake wote wanataka u fake it to make it! Tunahitaji kujenga family ila kuna elements ukiziona unajikataa!
 
Duh wewe ni noma, pole sana kwa yaliyokupata@maji ya gundu
 
Nako to Nako
 
PUNYETO hoyeeee........no stress no string.......just adjust......here we are........
 
Mwanangu umemaliza kampeni kabisa na kupita kabisa, unajua nini mwanangu kuna bi-mdash flani hivi tulielewana kinoma kaenda huko mawasiliano alikata, kakutana na Ustaz mmoja kamjaza u-stomach na amejifungua mtoto wa kike nashangaa juzi kati natafutwa eeh bahati mbaya.

Mama mkwe hamtaki anataka arudi eti tuoane ila kama yupo humu ameipata hii meseji, kwa kifupi hawaeleweki.
 
@Extrovert Mkuu hawa warembo ni vituko.
 
Ahh ahh ahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…