Ebhana nimeamua kutoka leo nije kitaa maeneo flan hapa nipate upepo huku niagize chakula kizuri na kinywaji laini bwana...
Sasa jirani mmoja ambae meza yake haiko mbali na meza yangu bwana si kamuona manzi mhudumu naona kamaind ili sijui amle kimasiharaaa.
Bwana kamuita akae nae aongee naee bwanaaa basi huyu manzi naona hajafagilia swaga za Jirani angu hapa ambae meza yake haiko mbali na meza angu.
Sasa Jamaa akamwambia huyu dada basi isiwe ishu chukua jero hili hapaa agiza soda tukae wotee.
Manzi kachukua lile Jero kaweka ziwani hapa kina dada na mama mtakua mnaelewa jinsi mnavyo ficha pesa zenu kwenye maziwaa.
Basi yule manzi akawa anaendelea na huduma kuhudumia watejaa akikaa haji kwa mshkaji wake alie mpa Jero lake bhanaaa dah....!
Sasa Jombaaa akaona isiwe ishu cha kufia nini ikabidi amuite manzi amchanee oyaa mbona unazinguaaa....!!! nimekusaidia husaidikii vipi eeeh...???
Jamaa kamaindi hatarii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa yule manzi kaona isiwe ishu kama ni Jero lako ambayo ndo miatano hii hapaaa chukuaa bwanaa mambo ya siwe mengii.[emoji2955]
ebhanaa huyu jamaa sijui ni mzaramo dada kapewa maneno ya dharau huku mnaita sojui shombooo
Dada huyu asee katukanwaaa hata kuongeaa kashindwaaaa yaaan dah...!
Sasa mi nimefikiria huendaa kitaa kuna kaba sanaaaa ama shida ninii...???
Wakubwaa ukikosa ela basi uwe na kumlomoo nahisi unaweza ishiii.
Any way dada wawatu kapoaaa na jero karudishaa na matusi kibaooo[emoji2960]
Sent from my SM-A125F using
JamiiForums mobile app