Huduma ya WHATSAPP inalipwa wapi? nifahamisheni tafadhali

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
1,518
Reaction score
471
Shehima zenu wakubwa!!

Naomba mnisaidie simu yangu imegoma gafla WHATSAPP inanipa text kua natakiwa kulipia ndipo nipate huduma

Nifahamisheni namna ya kulipia,,wapi ntafanya hayo malipo ili niendelee kupata huduma hii????? Naomba mnielekeze tafadhali!!
 
Nielekezeni tafadhali nataka nilipie hii huduma ya WhatsApp

Wapi inalipiwa??
 
mi sijui kama huduma hii inahitaji ada!!
 
Shehima zenu wakubwa!!

Naomba mnisaidie simu yangu imegoma gafla WHATSAPP inanipa text kua natakiwa kulipia ndipo nipate huduma

Nifahamisheni namna ya kulipia,,wapi ntafanya hayo malipo ili niendelee kupata huduma hii????? Naomba mnielekeze tafadhali!!

Jaribu kuinstall tena itakupa tu maelezo
 
nenda kwnye options alaf delete acount ksha fungua tena kw namb hyohyo,then itakua tayar..
 
Inalipiwa thru debit/credit card au paypal account......fungua gmail account then kama unayo debit card utaweka details zako kisha unaweza lipia
 
Dah ngoja tu niende huko crdb azikiwe maana kwa njia ya gmail sitaiweza

Ahsante mkuu
 
Ilipoundwa kwani.ww uliipata wap angalia nani kaunda na ana contact info yake wasiliana nae
 
nenda kwnye options alaf delete acount ksha fungua tena kw namb hyohyo,then itakua tayar..

Nishafanya ivyo zaid ya mara mbili na bado inanipa sms kua natakiwa niilipie US $0.99

Naona hakuna options zaidi ya kulipia tu

Ahsante kwa mawazo yako ila nafanya mchakato wa kulipia maana $0.99 ni kama 1500/= TSH tu
 
Shehima zenu wakubwa!!

Naomba mnisaidie simu yangu imegoma gafla WHATSAPP inanipa text kua natakiwa kulipia ndipo nipate huduma

Nifahamisheni namna ya kulipia,,wapi ntafanya hayo malipo ili niendelee kupata huduma hii????? Naomba mnielekeze tafadhali!!

The simplest way nenda kwenye application za simu yako. Delete whatsap kishe re-install.
 
Nishafanya ivyo zaid ya mara mbili na bado inanipa ujumbe kua lazma nilipie $0.99

Ahsante kwa mawazo yako mkuu
 
Dah ngoja tu niende huko crdb azikiwe maana kwa njia ya gmail sitaiweza

Ahsante mkuu

huyo jamaa aliyekwambia uende crdb azikiwe anakuongopea huezi kulipia whatsapp hadi uwe na debit/credit card,na payment zote zinafanyika online. The only way ya kuendelea kutumia bila kulipia ni kubadilisha namba ya simu,otherwise sajili card yako ya benki for online transaction then lipia ni pesa ndogo tu
 
Back
Top Bottom