Huduma ya uchimbaji wa kisima

MVAA KOMBATI

Member
Sep 18, 2016
39
38
KISIMA KISIMA KISIMA KISIMA.

HABARI NJEMA KWENU AMBAO MPAKA SASA MNASUMBULIWA NA SWALA MAJI IWE NI KWA MATUMIZI YA NYUMBANI AU SHUGHULI ZA KILIMO AMA UFUGAJI.

MIMI NAWALETEA UFUMBUZI WA TATIZO HILO LA MAJI KATIKA ENEO LAKO,IWE KIJIJI AMA MJINI.


NINACHIMBA KISIMA CHA KARAVATI KWA KUWEKA MIFUMO YA KISASA KABISA.

NI MUHIMU KWA WAKULIMA KUELEWA KWAMBA KILIMO CHA KUSUBILIA MVUA NI KILIMO KISICHO NA UHAKIKA NA MAENDELEO.

NITAFUTE KWA NAMBA ZANGU ZA SIMU ILI TUJE KUKUCHIMBIA KISIMA KWA MAKUBALIANO YA BEI,PIGA SIMU AU TUMA MESEJI KUTUMIA NAMBA HIZI POPOTE ULIPO TANZANIA TUTAKUFIKIA.

0784999995.

0654768400.

0763208043.

0719529300.


 
Hii ni biashara kwako lazima utoe maelezo unachimbaje kwa futi moja au mita. Ili hao unaotaka wakupigie Iwe rahisi kwao pia. Epuka sana kupigiwapigiwa, endesha biashara kwa uelewa mpana sio msaada huo.
 
Back
Top Bottom