huduma ya tigo mxshare

Me sijawahi itumia, ila kua makini sababu nilijaribu kuwauliza tigo wakaikana io huduma!
 
huduma gani sasa,,,,,,,,,,, mbona hata hamjafafanua kwa sisi ambao hatujawahi kuiona kabisa??
 
huduma gani sasa,,,,,,,,,,, mbona hata hamjafafanua kwa sisi ambao hatujawahi kuiona kabisa??

Wanadai huduma hiyo inakuwezesha kupiga simu kwenda mitandao yote bila kikomo kwa kulipia tsh 3,000 tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…