Huduma ya Paypal Tanzania

Huduma ya Paypal Tanzania

Joined
Nov 23, 2011
Posts
45
Reaction score
17
Malipo kwa njia ya PAYPAL; Hii ni njia au huduma nzuri sana na ya haraka kulipwa au kulipa hela. Ni huduma inayotumika sana Duniani kwa sasa.

Lakini nchi yetu ya Tanzania hususan Benki kuu wamekataa malipo ya huduma hii yaani mtu, taasisi au shirika haliwezi kulipa mtu, taasisi au shirika kwa kutumia PayPal.

Tanzania inaruhusu tu kulipa kwa kutumia Pay Pal lakini hairuhusu kulipwa, hii ni ajabu sana kwani nchi yetu inahitaji hela za kigeni kila uchao lakini hairuhusu huduma nzuri na ya haraka ya kuleta hizo fedha za kigeni.

Majirani zetu Wakenya wanaruhusu kulipa na kulipwa kwa kutumia PAPAL, nauliza; sisi Tanzania ni Kisiwa? Naomba mamlaka husika husasan benki kuu waangalia namna ya kuruhusu huduma hii Tanzania.

NAWASILISHA.
 
Hii inanishangaza Saba pia! Kwa Mara kadhaa nimeshindwa either kupata refund au kulipwa via PayPal. It really doesn't accept bank account addition! Sad!
 
Duu ndo maana juz ilikuwa nipokeee dolla kadhaaa nje imeshindikana najiuliza nini tatizo kumbe ndo huu ujinga?

Hv tuna viongozi matope? malofaa wakubwa..
 
Kweli tatizo ni benk Kuu. Kuhusu refunds zinarudishwa direct kwenye kadi yako within 14 days, check na benki yako kma hujapata bado. Alternatively, wacheki skrill au ongea na anayekulipa kma anaweza kutumia cheap transfer services kma RIA ambayo CRDB wanakubali.
 
Mkuu tumieni PAYONEER ni huduma nzur sana pesa yako inakuwa kwnye account yako y payonner na unaweza kuitoa popote kwenye ATM inayoruhusu Master card
kwa maelezo zaidi ingia kupitia link below!
 
Payoneer | Refer A Friend

OK. We umefungua umeapply kwa ajili ya kadi?
What they need to get it?
How long it took you to get the card?
Withdrawal fees kwenye ATM za kibongo ni sh ngapi?
 
Yeah nilifungua wanachohitaji ni kimoja kati ya hivi ili wakutumie card yako
1. National ID
2. Passport
3. Driving licence
Ukiwa na kimoja kati ya hvyo unaijaza na kutuma image yke then wanakutumia card yako kwa kupitia Box number utakayoijaza
Inachukua max 28 days kufika
Kuwithdraw Mara nyingi ni 1% kama cjakosea hila uwa siangaliag sana coz wanaziconvert kwa Tz sh then unaitoa kama Tzs Ila Mara nyingi ni kama 1usd au inaweza isifike
 
Mnaona Paypal tu?
Ni kwamba ukiwa mtanzania ni kama umekuwa cursed kwenye kila kitu.
BoT wamesababisha watanzania wasifurahie na wasineemeke na financial system ya dunia nzima.
Kuna baadhi ya huduma huwezi kupata simply kwasababu wewe umetokea Tz.
 
Ya ni Kweli kabisa hata mimi natakiwa kulipwa dolla lakini jamaa kila akijaribu kutuma inagoma na mpaka sasa ikanibidi nijaribu kufungua kwa kujaza details za kenya ili ionekane nipo Kenya lakini nilipojaribu kuweka details za Visa card ya Crdb ikagoma sasa sijui tatizo nini labda Mwl. RCT aje atusaidie hapa

cc. Mwl.RCT
 
Mwambie afanye TT tu straight kwenye account yako
 
mwambie afanye TT tu straight kwenye account yako

Naomba nilete mrejesho hapa kuhusiana na Paypal baada ya kujisalini na Paypal na kujaza details kama mimi Ni Mtanzania ili zingua na pesa haikuingia baada ya kuona hivyo Nikaona isiwe kesi nikaifuta hiyo account na kufungua akaunti nyingine ambayo nikajaza details as if mimi ni Mkenya majina yote yangu kila kitu changu ila tu uraia nikasema ni mkenya..

Well ikakubali na baadae nikaenda kutafuta kadi ya visa ya UBA Bank ambayo sio lazima uwe na akaunti nikafanikiwa kufungua nikadeposit elfu 19 kwenye hiyo kadi then nikarudi kuverify ikakubali na hapo hapo nikapata code za paypal kwenye online statement nikaconfirm na ikakubali then baadae huyo mtu akanitumia pesa kwenye hiyo akaunti na ikakubali kuingia Mziki sasa kwenye Kuitoa nikajaribu kutafuta option ya kuhamisha pesa kutoka Paypal kwenda kwenye Akaunti yangu ya Payoneer ikagoma na baadae nilipowauliza wakasema kuwa kwasasa hivi wameiondoa hiyo huduma ya kutuma pesa kwenye Akaunti ya Paypal lakini pia wakanielekeza jinsi ya kuwithdraw hiyo pesa na kunishauri niwe na akaunti ya Equity Bank Kenya na maelekezo hayo nikiyafuata pesa itatoka sasa swali langu hapa ni je Equity Bank ya Tanzania inaweza kuwa Na Option kama ya Equity Kenya? Hapo ndio naendelea kutafuta njia mbadala lakini ikishindikana itanibidi ninunue vitu online basi lakini changamoto nyingine ni kwamba kuna kitu nataka kununua amazon bahati mbaya Amazon hakuna option ya kulipia Paypal.

Na kama ipo naomba wadau mnielekeze..Ni hayo tu

cc: Shaurimbaya
 
Tatizo la hii nchi ni viongozi kutukuwa wazalendo, ndugu zangu Watanzania tuamke tufanye mabadiliko ya kweli tar 25 october. bila mabadiliko tutaendelea kuwa na matatizo kila uchao, haingii akilini nchi iko gizani tunakosa hata umeme wa kuchaji simu bado watu wanaomba kura, Watanzania fursa ni kwenye uchaguzi huu.
 
Mnaona Paypal tu?
Ni kwamba ukiwa mtanzania ni kama umekuwa cursed kwenye kila kitu.
BoT wamesababisha watanzania wasifurahie na wasineemeke na financial system ya dunia nzima.
Kuna baadhi ya huduma huwezi kupata simply kwasababu wewe umetokea Tz.

Ni kweli,miaka inaenda ,technologia inakua kwa kasi lakini nchi yetu inaenda taratibu kama konokono.Msitakabali wa inch hii upo mikononi mwa vijana.we need to do something.Mimi naona ni vema tujiorganise then tupeleke mawazo yetu kwa waziri husika or even Mr.president.Otherwise tutabakia kulalamika na miaka inazidi kwenda.
 
Naomba nilete mrejesho hapa kuhusiana na Paypal baada ya kujisalini na Paypal na kujaza details kama mimi Ni Mtanzania ili zingua na pesa haikuingia baada ya kuona hivyo Nikaona isiwe kesi nikaifuta hiyo account na kufungua akaunti nyingine ambayo nikajaza details as if mimi ni Mkenya majina yote yangu kila kitu changu ila tu uraia nikasema ni mkenya..

Well ikakubali na baadae nikaenda kutafuta kadi ya visa ya UBA Bank ambayo sio lazima uwe na akaunti nikafanikiwa kufungua nikadeposit elfu 19 kwenye hiyo kadi then nikarudi kuverify ikakubali na hapo hapo nikapata code za paypal kwenye online statement nikaconfirm na ikakubali then baadae huyo mtu akanitumia pesa kwenye hiyo akaunti na ikakubali kuingia Mziki sasa kwenye Kuitoa nikajaribu kutafuta option ya kuhamisha pesa kutoka Paypal kwenda kwenye Akaunti yangu ya Payoneer ikagoma na baadae nilipowauliza wakasema kuwa kwasasa hivi wameiondoa hiyo huduma ya kutuma pesa kwenye Akaunti ya Paypal lakini pia wakanielekeza jinsi ya kuwithdraw hiyo pesa na kunishauri niwe na akaunti ya Equity Bank Kenya na maelekezo hayo nikiyafuata pesa itatoka sasa swali langu hapa ni je Equity Bank ya Tanzania inaweza kuwa Na Option kama ya Equity Kenya? Hapo ndio naendelea kutafuta njia mbadala lakini ikishindikana itanibidi ninunue vitu online basi lakini changamoto nyingine ni kwamba kuna kitu nataka kununua amazon bahati mbaya Amazon hakuna option ya kulipia Paypal.

Na kama ipo naomba wadau mnielekeze..Ni hayo tu

cc: Shaurimbaya

Amazon hawana hiyo huduma ila wanakata pesa moja kwa moja toka kwenye kadi yako.

Ni waaminifu, unaweza kuweka details zako.
 
Ni kweli,miaka inaenda ,technologia inakua kwa kasi lakini nchi yetu inaenda taratibu kama konokono.Msitakabali wa inch hii upo mikononi mwa vijana.we need to do something.Mimi naona ni vema tujiorganise then tupeleke mawazo yetu kwa waziri husika or even Mr.president.Otherwise tutabakia kulalamika na miaka inazidi kwenda.

Tanzania tupo nyuma sana.

Sio Paypal tu, ni mambo mengi mno.
 
Ukitaka kujua hii nchi IPO nyuma kwenye world of globalization ingia kwenye ulimwengu wa digital marketing either uwe affiliate or freelancer !! Utaichukia Tanzania mpka utataman kwnn hukua ata Kenya
 
Ni kweli,miaka inaenda ,technologia inakua kwa kasi lakini nchi yetu inaenda taratibu kama konokono.Msitakabali wa inch hii upo mikononi mwa vijana.we need to do something.Mimi naona ni vema tujiorganise then tupeleke mawazo yetu kwa waziri husika or even Mr.president.Otherwise tutabakia kulalamika na miaka inazidi kwenda.

Unadhani hawajui? Wanapita humu Na wanaona malalamiko ya watu! Ila inaonekana kwao sio muhimu.
 
mbona mimi paypal Tanzania imekubali? ila wakati wa kujiunga cek paypl Tanzania nlijaza details zote na bank details za CRDB. Baada ya muda wakatuma verification code nliyoikuta kwenye bank statement. so I verified my card na nshanunua vitu mara mbili kwa ebay
 
Unaweza kununua vitu ata mm nfanya transaction daily but ikifika wakati wa kupokea pesa kutoka PayPal kuja kwenye account yako ya Bank ndo inakuwa mtihani PayPal wankataa kutokana na sheria za kibenk za TZ
 
mimi natumia huduma ya paypal ni mtewja wa nbc siyo kweli hii huduma hairuhusiwi sema wafanyakazi wengi wa benki ni vihiyo baada ya kufanya process zote kuna code nilitakiwa nizipate nilipoenda nilizungushwa sana mpaka nikaenda kitengo cha it cha nbc ambacho kiko jamhuri ndio wakanipa hizo code unatakiwa ama uwe na visa card au master card
 
Back
Top Bottom