Huduma ya Neno la Mungu.

Huduma ya Neno la Mungu.

Joined
Nov 24, 2014
Posts
45
Reaction score
18
Habari wandugu katika Bwana.

Tunatoa huduma ya neno la Mungu na maombezi kwa watu wa dini zote na hata kwa wale wasio na dini. tunatoa huduma ya maombezi pia kwa wenye mapepo na magonjwa aina mbalimbali. kwa ufupi tuko kineno zaidi kwa kuchambua mada na kweli za Biblia ambazo makanisa na makundi mbalimbali wameyakanyaga. kweli kama Ukweli wa neno la Mungu, Sheria za Mungu, Roho Mtakatifu, Uungu wa yesu, Kunena kwa Lugha, Wokovu, Kurudi kwa Yesu mara ya pili, Miaka 1000, Jehanam, Nk. tuko dsm njoo mwembe chai au nje ya dsm njoo hapa ayubuaroni@gmail.com
Mungu awabariki.
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom