O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,319 Jul 11, 2016 #1 Wanajukwaa habari ya muda, Naomba kuuliza, huduma ya mpesa unakuwa na line moja ya kazi au lazima uwe na laini mbili Mwenye ufahamu tafadhali anijulishe
Wanajukwaa habari ya muda, Naomba kuuliza, huduma ya mpesa unakuwa na line moja ya kazi au lazima uwe na laini mbili Mwenye ufahamu tafadhali anijulishe
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,497 Reaction score 2,490 Jul 11, 2016 #2 Laini za zamani zilikuwa mbili. Ila sasa wameacha kutoa mbili. Inatoka moja tu.
O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,319 Jul 11, 2016 Thread starter #3 ikhatibu said: Laini za zamani zilikuwa mbili. Ila sasa wameacha kutoa mbili. Inatoka moja tu. Click to expand... Mkuu asante kwa mchango wako, mana kuna mtu kaniambia ni lazima ziwe mbili, ukiwa na moja umetapeliwa
ikhatibu said: Laini za zamani zilikuwa mbili. Ila sasa wameacha kutoa mbili. Inatoka moja tu. Click to expand... Mkuu asante kwa mchango wako, mana kuna mtu kaniambia ni lazima ziwe mbili, ukiwa na moja umetapeliwa
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,497 Reaction score 2,490 Jul 11, 2016 #4 onyx said: Mkuu asante kwa mchango wako, mana kuna mtu kaniambia ni lazima ziwe mbili, ukiwa na moja umetapeliwa Click to expand... We ondoa shaka hiyo ni yenyewe.
onyx said: Mkuu asante kwa mchango wako, mana kuna mtu kaniambia ni lazima ziwe mbili, ukiwa na moja umetapeliwa Click to expand... We ondoa shaka hiyo ni yenyewe.
O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,319 Jul 11, 2016 Thread starter #5 ikhatibu said: We ondoa shaka hiyo ni yenyewe. Click to expand... Shukria mkuu
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,850 Jul 11, 2016 #6 onyx said: Shukria mkuu Click to expand... Ungefurahi mpk unakosea kuandika
O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,319 Jul 11, 2016 Thread starter #7 mjukuum said: Ungefurahi mpk unakosea kuandika Click to expand... Mkuu sijakosea, kihindi hicho
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,850 Jul 11, 2016 #8 onyx said: Mkuu sijakosea, kihindi hicho Click to expand... [emoji39] Lkn wakati unauliza uliuliza kiswahili
onyx said: Mkuu sijakosea, kihindi hicho Click to expand... [emoji39] Lkn wakati unauliza uliuliza kiswahili
O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,319 Jul 11, 2016 Thread starter #9 Si unajua naenzi safari ya pm wa India mjukuum said: [emoji39] Lkn wakati unauliza uliuliza kiswahili Click to expand...
Si unajua naenzi safari ya pm wa India mjukuum said: [emoji39] Lkn wakati unauliza uliuliza kiswahili Click to expand...