Huduma ya kuuza domain

Huduma ya kuuza domain

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Hii huduma ya kuuza domain sielewi sielewi jinsi inavyotolewa
maswali yangu

1. Ili uwe muuzaji wa domain unatakiwa kuwa na nini,hatua gani unapitia?
2. Hawa godady, maddog, servesfree walinunua kwa nani domain zao? maana hao ndio wauzaji maarufu wa domain
3. Tanzania huduma hzo znatolewa na nani? Sio kwamba nataka kuwa muuzaji ila napenda kujua tu
 
Makampuni kama Godaddy hupata access kutoka kwa Kampuni mama ICANN, Hawa ndio wanaomiliki domain zote, Asilimia Kubwa Ya Makampuni ya TZ huuza domain toka Kwa Makampuni kama Godaddy, eNom e.t.c

By the way, japo umesema huhitaji kuuza domain, naweza kukupa account + website yakuuzia domains bure. Ni PM If you are Interested
 
Mkuu nashukuru.nime kupm.sasa hao icann server yao ina uwezo gani.? na iko wapi?
 
Sio server yao. Servers zao. ICANN ni kampuni kubwa sana, ila sifahamu vema wanavyofanya kazi upande wa domain control.
 
kwa vile umeshajibiwa baadhi ya maswali yako, mimi naongezea yafuatayo:

>>ili kuuza domain lazima ununue domain package kama reseller, yaani utanunua package i.e 500GB, halafu unapewa maximum number of domains or unlimited. sasa wewe kama reseller unaanza kuigawa hiyo 500GB , let say 2GB hivyo utafanya 500GB:-2GB= 250 Domains . sasa wewe utakuwa unauza rejareja kila domain itakuwa na 2GB na utauza jumla ya domain 250.

Unaweza kununua reseller package kutoka kwa Goddady,bluehost etc etc

Hii huduma ya kuuza domain sielewi sielewi jinsi inavyotolewa
maswali yangu
1.ili uwe muuzaji wa domain unatakiwa kuwa na nini,hatua gani unapitia?
2.hawa godady,maddog,servesfree walinunua kwa nani domain zao?.maana hao ndo wauzaji maarufu wa domain
3.tanzania huduma hzo znatolewa na nani? Sio kwamba nataka kuwa muuzaji ila napenda kujua tu
 
kwa vile umeshajibiwa baadhi ya maswali yako, mimi naongezea yafuatayo:

>>ili kuuza domain lazima ununue domain package kama reseller, yaani utanunua package i.e 500GB, halafu unapewa maximum number of domains or unlimited. sasa wewe kama reseller unaanza kuigawa hiyo 500GB , let say 2GB hivyo utafanya 500GB:-2GB= 250 Domains . sasa wewe utakuwa unauza rejareja kila domain itakuwa na 2GB na utauza jumla ya domain 250.

Unaweza kununua reseller package kutoka kwa Goddady,bluehost etc etc

bei gani?? na utajuaje kama domain flan imechukuliwa tayari
 
Kuna software inaitwa domain checker ambayo kila hosting company bora wanayo hiyo software , angalia hapa Tanzania Web Hosting, .TZ Domain Registration, tzNIC Accredited Registrar - Extreme Web Technologies Ltd unaandika domain yako (mfano: ymollel.com) then una click "Check availability"

Pia unaweza kuingiza domain name unayoitaka kwenye Browser address bar, then GO. Ikikulete page not found basi uwezekano mkubwa hiyo domain haijachukuliwa.

Bei ya hosting ninazotumia mimi huanzia TSHS 50,000

ahsante mkuu
 
Makampuni kama Godaddy hupata access kutoka kwa Kampuni mama ICANN, Hawa ndio wanaomiliki domain zote, Asilimia Kubwa Ya Makampuni ya TZ huuza domain toka Kwa Makampuni kama Godaddy, eNom e.t.c

By the way, japo umesema huhitaji kuuza domain, naweza kukupa account + website yakuuzia domains bure. Ni PM If you are Interested

nipe mimi bure
 
Back
Top Bottom