Wakuu habari za muda,
Nipo kwenye kipindi cha kujiandaa ndani ya hii miaka miwili, nijiajiri. Nataka nipate huduma ya kusajiliwa kampuni, ni wapi nitapata huduma hiyo, kuna mambo yananibana kufanya mwenyewe,
Wapi nitapata huduma, na je inaweza nigharimu kiasi gani
Nawasilisha