Huduma ya kukata miti kwa kutumia chainsaw

Huduma ya kukata miti kwa kutumia chainsaw

Zogolo1550

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
44
Reaction score
25
Tunatoa huduma ya kukata miti iliyo katika mazingira hatarishi na mashambani.

Tunapatikana mbezi mwisho (DAR ES SALAAM)

0679900852/0758700852

7A49AD71-EAE2-42DE-9D94-6A0E9C60C9DE.png
 
Kila tunapoenda kukata mti kwa mteja tunaenda na Mche mmoja wa mti ili ku replace tunaokata (mteja anachagua aidha mti wa matunda au mti wa kivuli).
Safi sana tunza mazingira yakutunze
 
Bei elekezi ni ipi mkuu. Kuna miti miwili nataka kuitoa.
Nipo Kibanda cha mkaa
 
Back
Top Bottom