mi nilipiga customer care kutaka maelezo
nilichoambiwa niliona upuuzi mtupu,hako kadada kaka niambia
"kama uko tigo ukitaka kuhamia mfano voda,unaenda ofic za tigo unawaambia mimi nataka kuhamia voda,basi wao tigo watakupa namba flan ambazo utaenda nazo ofic za voda na voda watakuingiza kwenye system yao"
pumbaf kweli,sasa si bora niwe na lain mbili?
watu wanakurupuka tu na huduma zao
kakaniuliza umeelewa? nkasema ndio,yan nkaona ananipotezea muda tu