Habarini wana Jf,
Majuzi tcra walitangaza kuwa makampuni yote ya ving'amuzi tz yanatakiwa yasizilipishe zile 5 local channels..
Sasa leo decorder yangu imekaza vyuma...,nikajaribu kupekua local channels japo nipate taarifa ya habari.....napekua nakuta No Access!!!!!!
Sasa hilo agizo lishaanza kutekelezwa ama nipambane na hali yangu....